Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Huyu hawezi kuwa neutral
 
Kwa ushahidi huu tutegemee nini kwenye hii shauri?
Haki kupindishwa kama kawaida, hao wote na jaji ni timu moja iliyokwishapewa maelekezo na jaji mkuu kuwa maamuzi yao yaangalie na muhimili mwingine (bosi wao anataka nini).
 
Katibu msaidizi wa CCM anayejinasibu hana chama 🀣 🀣
 
Huyo hapo ndiye shahidi nambari 2 Justine Eriya Kahaya.

Shahidi ni mwanachama mkereketwa na kada wa ccm.

Jee haki hapo ipo au itachelewa?

Ewe Mungu isaidie sehemu inayo umizwa kwenye kesi hii.View attachment 1988721View attachment 1988722
Ndiye huyu anatumia kiapo Cha mahakama kwamba analima nyanya na karoti? Tusitoe hukumu ni kazi ya mahakama.

Ngoja watu wamuumbue. Ukweli utajulikana. Watu wanaomfahamu tunaomba wajitokeze wuumbue. Na ikiwezekana hii kesi ikatiwe rufaa ICC. Happy tutaona mautumbo ya watu zaidi.

Jicho na kamera za dunia ziendelee kumulika. ICC hata mwenye kinga kikatiba atakwenda.

Kamanda Mbowe usikate tamaa.
 
Hakuna nafasi ya kukata tamaa.
 
Huyu hawezi kuwa neutral

Si kuwa neutral tu mkuu. Lakini hata kama ushahidi wake ni wa kweli, Mbowe alikuwa mgombea ubunge Hai.

Hakuwa na haki ya kuwapeleleza kina Sabaya waliokuwa wakijipanga kumhujumu yeye?

Kwenye kuwapeleleza kina Sabaya kulikuwa na tatizo gani kuwasiliana na Justin Kaaya au na yeyote au hata na ku mlipa chochote kwa taarifa alizotoa?

Huyu labda kama kaletwa kutoa ushahidi kuwa Bwire alikuwa mlinzi wa Mbowe na kuwa namba hizo za simu zilikuwa za Mbowe.

Hawajui Adamoo wala Ling'wenya!

Vinginevyo mengine mbona ni utopolo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…