Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?
Hizo sababu zake ni pamoja na kuwazushia watu ushahidi wa uongo?

Hilo ni swali, usifikiri ni maoni.
 
Hii picha huyo jamaa aliyekaa angeongezea miwani myeusi asingekuwa tofauti na wale mabwana vita wa kule DRC. Akina Bosco Ntaganda.

Huyu jamaa naye uchawa a auweza.
 
Reactions: BAK
Hakuna masikhara hapo kipi hujaelewa? 😳 Hukumsikia Jaji anamuomba msamaha shahidi kwa niaba ya mahakama kama kakwazika na maswali ya utetezi!? Mahakama huru tangu lini ikamuomba samahani shahidi upande wa mashtaka or for that matter upande wowote wa kesi kwa kukwazika ili kujibu maswali ya msingi? 😳

Chifu, Leteni masihara ...

Chagueni kuifwatilia hii kesi vyema.,
 
Dogo justine kaaya namfananisha na yule Dogo akiitwa mwalimu ludovick kwenye kesi kama hii ya ugaidi vs lwskatare
 

hili swali ni kijinga kaulize simba na yanga kuhusu rangi zao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aache Uongo kwani kuwa Mwanachama wa CCM ni kosa? Mbona ni Sifa kubwa sana
 
Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?
Jinsia yako tafadhali, ukakasi....
 
Alikuwa anaona anapendeza sana ndiyo akaamua kuvaa hayo manguo ya ccm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa aliwahi kupiga picha na gwanda za ACT wasaliti!?
🀣🀣🀣🀣🀣

 
Matokeo yake amekimbilia face na ku-deactivate account yake ila ikawa too late kumbe alivyokua kizimbani watu wameshamtembelea facebook wameshapakua picha za kutosha tu.
MaCCM ni ya hovyo kabisa , wanaiobomoa nchi wakiamini wanajenga uhai wa Chama Dola.
 
Mungu wetu wote ni waki .Ipo siku isiyo na jina hapa duniani mtalipa mambo haya.Adhabu haipo Mbinguni Iko hapa duniani.Hata wewe @ kipara kipya ulivyo mpenzi mtukuka wa CCM hilo ungeweza kulifanya.
Je wewe mtukuka?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…