Halafu kakariri namba ya Simu ya Mbowe. Anasema alikuwa anapigiwa via WhatsApp" simu zote. Watsup call si lazima uwe na bando na network iwepo. Au ni kwamba wakitaka Ushahidi wa kupigiwa kimtandao ya kawaida hautapatikana?Kwa jinsi alivyojieleza leo huyo kaaya, mtu unaweza kuona kabisa kuwa hii ni kesi yenye mkono wa ccm na makondokando yao...
HAta Mimi nimeambiwa hivyo. Sijui Zina nini hizo attachment?Wanadai Sina permission ya kuangalia hizo attachment! Nakubali na Nashukuru, mimi siyo Mmeru anaye penda Wameru wenye ‘shile shile’, kuleeee nyai kabisa! Bora sijamwona!
Huyu katengenezwa na jamhuri fakeAkihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa...
Wewe ni mjasilia siasabinafsi nimevaa nguo za vyama karibu 3 na mimi sijawah kuwa wanachama wa hivyo vyama ..
Wangeomba call logs toka huko whatsap kwenyewe . Hizi habari za kukariri haziwasaidii hata kidogo... na isitoshe huyo mbowe akisema hiyo si number yake wata prove vipi kama ni yake?Halafu kakariri namba ya Simu ya Mbowe. Anasema alikuwa anapigiwa via WhatsApp" simu zote. Watsup call si lazima uwe na bando na network iwepo. Au ni kwamba wakitaka Ushahidi wa kupigiwa kimtandao ya kawaida hautapatikana?
Mbona kafuta akaunti yake FB?Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa...
Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa...
Watu wa Arusha siyo wa kuwaamini kabisa.Akihojiwa na online media, shahidi katika kesi ya Mbowe bwana Kaaya amesisitiza yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa...
Sawa lakini unapodanganya wakati wa kutoa huo ushahidi, unatengeneza dotidoti nyingi
Lete ukweli wake unaoujua.Upo vizuri dada kwa kutunga urongo .. mimi naona unafaa ata kwenda kule bongo movie utawasaidia kutengeneza filamu za bongo wood.
Boya.sasa unahangaika na nini sasa kila siku nakuona humu povu jiingiii hamna hata hoja mahakamani mnahangaika tu kafanyeni kazi acheni kulalamika acheni mbowe apanmbane na hali yake
Ukweli ndio huo ikiwa hutaki lete unaoujua wewe.Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.
Sawa lakini ktk maelezo aliyoyatoa polisi, amesema yeye ni mwanachama na kada wa ccm na alikuwa mtumishi mwaminifu wa Sabaya. Mahakamani amepindua Meza Sasa tu jiulize Kunani hapa??Shati siyo chama bwashee.
Hata mgambo wa Mtume Mwamposya wanavaa sare za kijani!
Yeye anadhani mahakamani ni kwenye kikao cha chama!Sawa lakini ktk maelezo aliyoyatoa polisi, amesema yeye ni mwanachama na kada wa ccm na alikuwa mtumishi mwaminifu wa Sabaya. Mahakamani amepindua Meza Sasa tu jiulize Kunani hapa??
Wewe ndio unaona anajichanganya mwenzio kakuambia anazo figo zake, simu ni yake na account ni yakwake pia, kufuta lini na kwanini ni kiherehere chako tu Mmeru wa watu anazo sababu zake kama ilivyo kwa figo na mabandama yake,… we huna kwani?
Kwa kuzingatia ushahidi wa kisheria uitwao... circumstantial evidence/ushahidi wa mazingira unaonyesha shahidi ni mshirika mkubwa wa CCM na jambazi Sabaya.Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.