JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

Majeshi yote yanafanya hivyo, na uwezo wa jeshi haupimwi kwa Maonyesho, mbona Jwtz Wana Successfull mission nyingi tu Congo, Comoro, Uganda etc. Compare na Nchi jirani Jwtz wapo level headed sana.
 
Umechanganya mambo mengi kwa wakati mmoja hadi nashindwa kujua hoja yako ni ipi. Naona umepanick vibaya, au ww ndio ulikuwa unavunjiwa tofali kichwani na ukawa unaona ni jambo la maana sana Nini?
 
Majeshi yote yanafanya hivyo, na uwezo wa jeshi haupimwi kwa Maonyesho, mbona Jwtz Wana Successfull mission nyingi tu Congo, Comoro, Uganda etc. Compare na Nchi jirani Jwtz wapo level headed sana.
Congo wanalinda amani sio zaidi ya hapo. Comoro wana ubavu gani kijeshi? Uganda ipi, hizo story za vita miaka 40+ iliyopita ndio unaonyesha kama uwezo miaka hii? Tena huko Uganda ni vile Iddy Amin waganda walikuwa washamchoka. Story ingekuwa nyingine. Ni hivi, jeshi liachane na show outdated.
 
Hao wenzenu walio toka huko kwenye kuvunja mbao si ndo wameshindwa kuokoa mateka hapo gaza dhidi ya wahuni wa Hamas mwezi wa nne huu? ,kijana acha dharau dhidi ya wanao kufanya uwe salama.
Muhuni weye na familia yako. Hamas wanapigania nchi yao inayokaliwa kwa mabavu
 
mbOne on one simwogopi mtu. I can hold my own.

JWTZ ni vilaza tu.
Hauwaogopi wakati huo unatumia ID feki ili usitambulike?, kwanza hata jeshi tumeenda mbali tumia utambulisho sahihi alafu uongee mbovu dhidi ya serikali uone kama ujapapaswa kalio mchana kweupe na vijana wa chama cha kijani .
 
Vifaa vyao sio siri boss, labda hujui lolote kwenye Dunia hii. Siri kwao ni mbinu sio vifaa. Hawahitaji kuweka vitu vyote, lakini uhalisia wa nguvu zao kijeshi uko wazi. Yale mameli ya kivita, madege makubwa ya kivita ni Siri?
They always show to the world less than what they possess . Be sharp bro
 
Wakati wa Kikwete kulikua na mtifuano baina ya Jwtz na M23 waasi na Jwtz kufanikiwa kuwapiga labda kama umesahau.

Soma hii Hotuba ya Kikwete kuhusu Jwtz alilist mafanikio yao yote Darfur, Ivory coast, Liberia, Congo, Visiwa vya shelisheli, Uganda, Comoro etc.

 
They always show to the world less than what they possess . Be sharp bro
Kama Yale madege, meli za kivita ni kidogo cha walichonacho, basi ni wa hatari sana. Sasa Hawa wanaoonyesha kuvunjiana matofali kichwani wana jipya lipi?
 

Wanakesha kivyao wala hamna mtu mwenye time nao usiwape umuhimu wa kuvunja matofali bana
 
Sina imani sana na story za serekali, nyingi ni za kupika ili kuhadaa umma.
 
Hao wenzenu walio toka huko kwenye kuvunja mbao si ndo wameshindwa kuokoa mateka hapo gaza dhidi ya wahuni wa Hamas mwezi wa nne huu? ,kijana acha dharau dhidi ya wanao kufanya uwe salama.
Sasa hao maharamia kama wanajificha kwenye mashimo kama panya huoni ni ishara kwamba hawana uwezo?

Wanajificha nyuma ya raia na kuwatumia kama shield kuwapa advantage keyboard warriors wa social media waje na campaign ya #freepalestinians
 
Trump alitiwa hasira sana na kiduku kwa maonyesho yake,
Alivyokuwa mpumbavu awaambia US Army nao wafanye hayo maigizo, magenerali wa US Army wakamwambia akae kwa kutulia..... 🤣
 
Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile.
Jirani yetu Mr. Slim anatuchora tu sisi tunadhani sifa
 
"Ngabu kuumia kupenda tunaona hujaumia muda mrefu Mzee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…