Hawa jamaa bado wako karne ya nyuma sana ...badala ya kutoa version ya nguo ambayo itauzika mitaani ili kuongeza upendo wa watu kwa taasisi wao wanaenda na vitisho.Afrika tulilogwa hatuna ubunifu kabisa....hivi karne hii ni ya kumaliza resources na muda kuongelea nguo...??Watu wako busy na kwenda mwezini, kutengeneza drones...etc...wao wanapiga kelele kwa haya ya nguo jamani??
Kwa nini JWTZ wasianzishe military expo...kila mwaka vijana wetu wakaenda kuonyesha ubunifu wao kwenye dhana mbalimbali...na vitu mbalimbali....n.k.Kuna vitu havipaswi kuwachukulia muda kabisa kwenye karne hii