JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
HAWA JWTZ NAO NI MATAHIRAAAAAA MNO!!!!!!?!???!!!

MIPORI YAO WAMESHINDWA KUPANDA MITI, MBOGA MBOGA , MATUNDA NK

wangekuwa na viwanda Cha madawati.
kwa poli la huku MAKONGO WATOTO wasingekuwa wanakaa chini Wala kuuziwa madaftari........

KUNA POLI HUKU MAKONGO HADI KIMARA LINAFUGA MAJAMBAZI.

SH3NZI ZAO KABISA.
 
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa kusalimisha mavazi yanayofanania na sare za jeshi kwa hiari zimeisha, hivyo jeshi litaingia kuzisaka nguo hizo kwa wananchi.

Kaimu mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda amesema jeshi halina utani katika suala hilo, kwani katazo hilo ni kwa mujibu wa kifungu cha 99 cha Sheria ya Ulinzi wa Taifa (NDA) Sura ya 192 sheria namba 24 ya mwaka 1966 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2002 pamoja na kifungu cha 178 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 na kifungu cha 6 cha Sheria ya Usalama wa Taifa.

“Muda wao wa kusalimisha kwa hiari umeisha, kama mtu atakuwa hajasalimisha basi tutazifuata wenyewe, na mtindo upi tutatumia kuzichukua kwa wananchi tunajua wenyewe,” amesema Kamanda Ilonda.

Ameongeza kuwa sheria inakataza kutengeneza, kuagiza, kuuza na kutumia sare za JWTZ au zinazofanana na sare hizo bila kuwa na kibali kutoka katika mamlaka husika.
Nitakuwa wa kwanza kuamini jeshi letu ni la hovyo endapo wataingia mtaani kutafta hizo nguo..
Maana ni kuingilia majukum ya idara nyingine
 
Ndio shida ya amani hii, wanajeshi wanakaa idle sana hadi wanaanza kubuni shughuli za ajabu ajabu ili waonekane na wao wapo na kanumuhimu kwenye jamii
 
Wamekosa kazi za kufanya.

Wakasafishe MIPORI YAO yenye vichaka vya Kipuuzi walime mboga wagawe shule WATOTO WANAMKOSA vitamins

JESHI la Hivyo sana na la KIZAMANI.

SELIKALI Inapoteza MABILIONI kufashili ujinga WA HAO waaaaapumbafu.
 
Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.

Nawashauri muwache kuongea kijinga, wakimtaka mtu hapa JF wana uwezo wa kumpata ndani ya muda mchache sana.

Eleweni kuwa hii mitandao hakuna pakujificha na hakuna kinachofutika hata wewe ukifuta.

Chezeeni vingine, msichezee watu wanaojitolea maisha yao kutulinda.
Wengine wanacoment wakiwa Kongo shida ndio inaanzia hapo.
 
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa kusalimisha mavazi yanayofanania na sare za jeshi kwa hiari zimeisha, hivyo jeshi litaingia kuzisaka nguo hizo kwa wananchi.

Kaimu mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda amesema jeshi halina utani katika suala hilo, kwani katazo hilo ni kwa mujibu wa kifungu cha 99 cha Sheria ya Ulinzi wa Taifa (NDA) Sura ya 192 sheria namba 24 ya mwaka 1966 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2002 pamoja na kifungu cha 178 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 na kifungu cha 6 cha Sheria ya Usalama wa Taifa.

“Muda wao wa kusalimisha kwa hiari umeisha, kama mtu atakuwa hajasalimisha basi tutazifuata wenyewe, na mtindo upi tutatumia kuzichukua kwa wananchi tunajua wenyewe,” amesema Kamanda Ilonda.

Ameongeza kuwa sheria inakataza kutengeneza, kuagiza, kuuza na kutumia sare za JWTZ au zinazofanana na sare hizo bila kuwa na kibali kutoka katika mamlaka husika.
Jeshi lisilo na majukumu ya kufanya! WaTz kazi tunayo, wanasiasa na serikali ya ccm ni mahasimu wetu, na jeshi nalo linatafuta kila aina sababu ili lioneshe mabavu yake kwa WaTz!!
 
Viongozi hawatoki Mars au Jupiter wanatoka humu humu kwenye familia zetu kuwa mwafrika inabidi ukubali kuwa mjinga maisha yako yote.

Hakuna mtu mwenye akili akaishi kwa furaha Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara wote wenye furaha ni wajinga au wamekubali kuwa wajinga milele
Sina swali...
 
Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.

Nawashauri muwache kuongea kijinga, wakimtaka mtu hapa JF wana uwezo wa kumpata ndani ya muda mchache sana.

Eleweni kuwa hii mitandao hakuna pakujificha na hakuna kinachofutika hata wewe ukifuta.

Chezeeni vingine, msichezee watu wanaojitolea maisha yao kutulinda.
Wamelazimishwa kujitolea?
 
JWTZ ni moja ya Taasisi inayo heshimika na kukubalika kwa wananchi walio wengi, ziko nyengine. Kama walitoa muda, wakurudisha kesha rudisha na waoga wameshazipoteza kuepuka kukutwa na kidhibiti. Hii ya kuingia mtaani waachane nayo, waendelee na kazi yao kubwa ya kulinda mipaka, hasa kipindi hiki ambacho tunaambiwa liko lango mojawapo muhimu la nchi litakuwa na wageni wakijitafutia ridhiki langoni.
Hivi kuingia mtaani sheria inawaruhusu? Au wanataka kuvunja Sheria ili washtakiwe
 
Jeshi linaingia mtaani kutafuta Uniform kwa sheria ipi? Sheria zetu zinaruhusu makosa ya Jinai kushughulikiwa na Polisi au jeshi? Me naona kama kazi tumekosa kazi twende tukamtetee Ali bongo au tuwavamie Niger ili angalau tufanye kazi zinazotuhusu
 
Back
Top Bottom