JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

Wamekosa kazi bora za kufanya.Hizi ni akili za mananga na mikuruta mijinga.Waende wakaombe kazi za kiume pale Niger au Mali tuone morali waliyonayo pamoja na utimamu wao wa akili na mwili.
[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Mkumbuke kiapo chenu cha kuwalinda raia wa Jamhuri, Adhabu ziwe kwa mujibu sheria.
 
Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.

Nawashauri muwache kuongea kijinga, wakimtaka mtu hapa JF wana uwezo wa kumpata ndani ya muda mchache sana.

Eleweni kuwa hii mitandao hakuna pakujificha na hakuna kinachofutika hata wewe ukifuta.

Chezeeni vingine, msichezee watu wanaojitolea maisha yao kutulinda.
We ni mseng£ kweli wewe ,fala kabisa .Akili za matacle ,
Fool you
 
Sio Kwa huu mkwara[emoji115][emoji115][emoji1787]

Miaka 3 nyuma kule kusini walivamia terrorist wakachoma nyumba moto karibu 100 na kuua watu, Je hiyo intelligence Yao ulikuwa iko wapi?
Wapuuzi wameshindwa kupambana na magaidi Kibiti na Rufiji ,kila siku askari wao wanachinjana huko , wanaleta uzwazwa na kuongea mambo ya kipumbavu hapa badala ya kudeal na vitu vya maana , jeshi la kikuMA
 
CCM haina kosa, kuna mtu huko CCM ndo afurushwe. Yupo madarakani bila kuchaguliwa halafu anaboronga.
Naona maoni ya wananchi juu ya JWTZ kupindua nchini yanazidi kuongezeka Tu 🤣
 
Jeshi kidogo lazima litupe mkwara kiaina lazivyo na sisi tutakuwa na vikundi vikundi vya magaidi Kama kwa wenzetu, hata ukiwa baba kidogo lazima utetemeshe kwako ili nidhamu iwepo nyumbani.
Uweke nidhamu Kwa wananchi alafu unapigwa na adui, hii ajili au ugoro
 
Ujinga tu haya ndio madhara ya kukosa kazi unajikuta unaanza kudeal na vitu vya kipumbavu
 
Back
Top Bottom