Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wew tulia, hapa wataiona rangi ya uchawi... Witch-soldier war!Naona mambo ya vita yamewashinda...
Mm bdo ninayo Moja hp ghetto wake waichukueAsiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa kusalimisha mavazi yanayofanania na sare za jeshi kwa hiari zimeisha, hivyo jeshi litaingia kuzisaka nguo hizo kwa wananchi.
Kaimu mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda amesema jeshi halina utani katika suala hilo, kwani katazo hilo ni kwa mujibu wa kifungu cha 99 cha Sheria ya Ulinzi wa Taifa (NDA) Sura ya 192 sheria namba 24 ya mwaka 1966 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2002 pamoja na kifungu cha 178 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 na kifungu cha 6 cha Sheria ya Usalama wa Taifa.
“Muda wao wa kusalimisha kwa hiari umeisha, kama mtu atakuwa hajasalimisha basi tutazifuata wenyewe, na mtindo upi tutatumia kuzichukua kwa wananchi tunajua wenyewe,” amesema Kamanda Ilonda.
Ameongeza kuwa sheria inakataza kutengeneza, kuagiza, kuuza na kutumia sare za JWTZ au zinazofanana na sare hizo bila kuwa na kibali kutoka katika mamlaka husika.
kama tumesaidizana kununua apo sawa...Wananchi mnashauriwa msifunge makabati yenu wakati wanaume wakisaka ngwamba zao!
😁😁😁😁 huo muda wa police kufanya hivyo umeisha, na ukishaona hawa wameingilia jambo ujue kazi ipo. Uzuri walitoa tangazo na siku za kufata maelkezo. Kama ulikaza shingo acha livunjike sasa. Vaa wakukute ili ujue wanaweza kukamata au watakwambia usubiri police waje kukukamata 🤣🤣🤣🤣Kama ni kweli huyo Kaimu Mkurugenzi kasema haya basi ni dhahiri wa kufukuzwa kazi mara moja !
Kazi ya jeshi si kusachi na kukamata raia hiyo ni kazi ya polisi ndio wanaopewa mamlaka hayo na katiba ya nchi hii.
Huyu aondolewe kazini mara moja.Nadhani sasa anavuka mipaka
Hii jana tu nimepita mahali nimekuta watoto mtaani wanacheza mmoja kavaa kombati bichi kabisa, kichwani kwangu nikawaza sana hapa kuna namna na wala sio hizi nguo tu.Nauliza tu, kuna vinguo vingi vya watoto let's say wa umri wa mwaka mmoja miwili, wakimkuta yuko clinic watamkamata? wajeda watakuwa wamepewa deal kuvua nguo za watoto wetu na kuzihamisha kwa familia zao, ngoja tuone
Halina kazi ndio, bongo hakuna vita jeshi letu limebweteka tuUna maanisha jeshi letu halina kazi?
Hawana kazi za kufanya hawa! Na ndiyo maana wanaona wafanye oparesheni za kipuuzi.Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa kusalimisha mavazi yanayofanania na sare za jeshi kwa hiari zimeisha, hivyo jeshi litaingia kuzisaka nguo hizo kwa wananchi.
Kaimu mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda amesema jeshi halina utani katika suala hilo, kwani katazo hilo ni kwa mujibu wa kifungu cha 99 cha Sheria ya Ulinzi wa Taifa (NDA) Sura ya 192 sheria namba 24 ya mwaka 1966 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2002 pamoja na kifungu cha 178 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 na kifungu cha 6 cha Sheria ya Usalama wa Taifa.
“Muda wao wa kusalimisha kwa hiari umeisha, kama mtu atakuwa hajasalimisha basi tutazifuata wenyewe, na mtindo upi tutatumia kuzichukua kwa wananchi tunajua wenyewe,” amesema Kamanda Ilonda.
Ameongeza kuwa sheria inakataza kutengeneza, kuagiza, kuuza na kutumia sare za JWTZ au zinazofanana na sare hizo bila kuwa na kibali kutoka katika mamlaka husika.
Hata ya kufagia bara bara?Kukosa kazi raha.
Kabisa ni aibu kubwa kwa jeshi kudeal na jambo la kipuuzi kama hili Bora lingeatangaza hata oparesheni ya kutokomeza mateja au panya road na aina nyingine za uhalifu sio kuja kusaka mitumba ambayo wanajua wazi haitengenezwi hapa bongo na imeingizwa Nchini kisheria kabisa uzuri huku maporini sie tunavaa tu hata hapa nilipo nimejibonda US ARMY na hamtakaa mnitie mbaroni karibuni maketeWamekosa kazi bora za kufanya.Hizi ni akili za mananga na mikuruta mijinga.Waende wakaombe kazi za kiume pale Niger au Mali tuone morali waliyonayo pamoja na utimamu wao wa akili na mwili.
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa kusalimisha mavazi yanayofanania na sare za jeshi kwa hiari zimeisha, hivyo jeshi litaingia kuzisaka nguo hizo kwa wananchi.
Kaimu mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda amesema jeshi halina utani katika suala hilo, kwani katazo hilo ni kwa mujibu wa kifungu cha 99 cha Sheria ya Ulinzi wa Taifa (NDA) Sura ya 192 sheria namba 24 ya mwaka 1966 yaliyofanyiwa marejeo mwaka 2002 pamoja na kifungu cha 178 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 na kifungu cha 6 cha Sheria ya Usalama wa Taifa.
“Muda wao wa kusalimisha kwa hiari umeisha, kama mtu atakuwa hajasalimisha basi tutazifuata wenyewe, na mtindo upi tutatumia kuzichukua kwa wananchi tunajua wenyewe,” amesema Kamanda Ilonda.
Ameongeza kuwa sheria inakataza kutengeneza, kuagiza, kuuza na kutumia sare za JWTZ au zinazofanana na sare hizo bila kuwa na kibali kutoka katika mamlaka husika.
Nyumba 100 unazijua mzee?Sio Kwa huu mkwara👆👆🤣
Miaka 3 nyuma kule kusini walivamia terrorist wakachoma nyumba moto karibu 100 na kuua watu, Je hiyo intelligence Yao ulikuwa iko wapi?
vita ipo ya kisiasa isiyohusisha silaha... Ingependeza kama wangeenda kuwasumbua wanunuz wa bandariHalina kazi ndio, bongo hakuna vita jeshi letu limebweteka tu