JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

Hawa jamaa bado wako karne ya nyuma sana ...badala ya kutoa version ya nguo ambayo itauzika mitaani ili kuongeza upendo wa watu kwa taasisi wao wanaenda na vitisho.Afrika tulilogwa hatuna ubunifu kabisa....hivi karne hii ni ya kumaliza resources na muda kuongelea nguo...??Watu wako busy na kwenda mwezini, kutengeneza drones...etc...wao wanapiga kelele kwa haya ya nguo jamani??
Kwa nini JWTZ wasianzishe military expo...kila mwaka vijana wetu wakaenda kuonyesha ubunifu wao kwenye dhana mbalimbali...na vitu mbalimbali....n.k.Kuna vitu havipaswi kuwachukulia muda kabisa kwenye karne hii
 
Nauliza tu, kuna vinguo vingi vya watoto let's say wa umri wa mwaka mmoja miwili, wakimkuta yuko clinic watamkamata? wajeda watakuwa wamepewa deal kuvua nguo za watoto wetu na kuzihamisha kwa familia zao, ngoja tuone
 
Acha kuvuta bange wewe
 
Nauliza tu, kuna vinguo vingi vya watoto let's say wa umri wa mwaka mmoja miwili, wakimkuta yuko clinic watamkamata? wajeda watakuwa wamepewa deal kuvua nguo za watoto wetu na kuzihamisha kwa familia zao, ngoja tuone
Kambale : Mama sharubu Baba sharubu na Mtoto Sharubu , kazi ipo
 
LOlote wanalofanya jeshi, nyuma yao yupo Amiri Jeshi Mkuu.

Yeye ndo ametoa maagizo wananchi washughulikiwe na jeshi wanatafuta namna ya kukinukisha
 
Wewe dada acha vitisho aisee, Joe Biden huko kwenye teknolojia kubwa anatukanwa na anayetukana hapatikani kabisa. Serikali yako hii MASIKINI na dhaifu kiteknolojia inawezaje kunipata huku shamba niliko? Mkiwa CCM akili mnaacha wapi?
 
Wamekosa kazi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha waendelee kutuchokoza tu, soon tutaanza kutengeneza drone kwaajili ya kujihami na hawa maharamia wa CCM
 
Umeandika ujinga mtupu wewe bibi kikongwe. Au umeishiwa ugolo uko na arosto?! Kwa hiyo sisi ndo tumewatuma kufanya ujinga na upuuzi kama huo wa kupambana na tuvitu tudogo tudogo badala ya kuangalia mambo ya msingi ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi?!
Aliyewashauri kuhusiana na hili suala la nguo, ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine. Period.
Waambie wanitafute.
 
Raia wabishi sana wanafanya kila kitu wanakijua kuingia mtaani na kusearch kwako utaona kawaida ila ni mbinu ya kugundua vitu vingi sana kuna watu wanaishi na raia wa kigeni ndani kinyume na utaratibu,wanamiliki silaha ndani na nyara nyingi za serikali wote hao kazi wanayo nimewapa siri kidogo
 
Naona wafanye tu maana walitoa onyo na walitoa siku za kurudisha, kama mtu alikaza shingo basi acha livunjike kwa sasa.

Sheria ya ulinzi wa taifa imeeleza hapo sio kwamba wamejitunzia, sasa acha sheria ifate mkondo wake.
 
Kukosa kazi raha
Acha waingie vitani unajua wamepoa sana bila shaka watakuja wamejichora mikaa usoni na kwa wale wanaoishi bila kupalilia majani ukiona majani yanacheza sio nyoka ni ni wao
 
Kama ni kweli huyo Kaimu Mkurugenzi kasema haya basi ni dhahiri wa kufukuzwa kazi mara moja !
Kazi ya jeshi si kusachi na kukamata raia hiyo ni kazi ya polisi ndio wanaopewa mamlaka hayo na katiba ya nchi hii.
Huyu aondolewe kazini mara moja.Nadhani sasa anavuka mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…