Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?
Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.
Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.
Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
Hakuna Cha unknown Afrika,usitishe watu jombaa,Head of state,ni mtu tu Wala sio Mungu,kama unafikiri bongo na maloloso yake ya Uraisi,idara za usalama wa Taifa ni mambo yenye upekee,basi una tatizo la afya ya akili.
Huo upekee wa hizo idara ulikuwa wapi wakati skandali za Richmond,meremeta,escrow,na sasa Tilioni 360!!kanyaboya!
Wacha kijana afukue madudu yote waliofanya shetani Jiwe na kikundi chake Cha kijambazi.
Nchi hii ina mfumo mbaya sana wa utawala,ccm hawajuhi nchi hii inaenda mbele,au inarudi nyuma,ni kikundi Cha wezi watupu,kila waziri anajifsnyia anavyotaka,wengine wanasafiri na chopa za kijeshi,
Raisi uwezo wake ni mdogo mno,low self esteem,akiona mtu ana mzidi,anamzima faster,waziri mkuu,makamu wote Hawa pumbu zimewasinyaa kabisa.
Tutayasema yote madudu,kama unapenda hii nchi,elezea kwanini serikali ilidanganya kuhusu tilioni 360,watu wakafungwa,wengine wakaponea chupu chupu kuuwawa!!