Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Nothing shall befall us except what God has ordained
 
Kwahiyo lengo kubwa la kuoa wake wengi Ni Mbususu?

Au Kuna kingine?
 
Mto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe [emoji1] tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Huyo uliyemtolea mfano unaona alivyochanganyikiwa kila mda kuna kesi ya kujibu kwenye maisha halisi yule ameshazikwa kitambo tu
 
Huyo uliyemtolea mfano unaona alivyochanganyikiwa kila mda kuna kesi ya kujibu kwenye maisha halisi yule ameshazikwa kitambo tu
Hata akifa umri wake umeenda siku hzi vijana wanakufa kwenye 50s tu kisa stress za familia. Huku unatekenywa kidevu huyu anapapasa kitambi huyu anakuvua viatu maisha ndo haya kama ya daudi
 
Sisi ni kina nani hadi tubishe starehe yako na wakati Duniani tunapita tu....

Kwanini Uoe,,, kuna ulazima gani wa kuoa sita,,, huoni kama unajipa limit,,, Achana na kuoa... Chakata mademu wa kutosha... Sita bado unajinyima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…