hii inanikumbusha mbali sana na mwalimu wangu wa darasa la kwanza Mwalimu bora sana Mwl Nzongo MWENYEZI MUNGU amweke mahali pema peponi mama yule.Kuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Sasa km awadharau?anaambiwa usifanye anafanya..Nawaza mipango ikifeli akachomoa mtaambia Nini watu?? Kwani hakuna namna nyingine tofauti na parapanda?? Em waje na plan B kama wapo serious.
Hata wewe unaweza kufa vilevileKuna member humu kaliandika.. Kuna wale wanaojiita manabii wamelisema wazi bila hofu na kwa njia ya tahadhari
Kuna watabiri wengine nje ya mitandao wanalitajataja.. Nadhani ni sisi tu wazee wa Kilingeni hatujalisema
Inawezekana kabisa kuna mipango inapangwa na marafiki lakini kwa usiri na ustadi na uangalifu mkubwa sana
Kumbukeni Kikulacho ki nguoni mwako.. Sasa hili kama ni kweli huyo/hao adui/maadui rafiki ni nani/ni akina nani?
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Na wewe pia umo unaendelea kuuchangia.Ila watanzania wengi hawana kazi, alfajiri tu uzi na unajadiliwa hadi saa sita mchana
Kama ikiwa ni huko utosini mbona itakuwa raha sana.Hizo ni taarifa nyeti kutoka idara nyeti
Mnanikumbusha watu waliochomoa betri la gari lililo dondoka ili waibe mafuta badala yake walichomoa uhai waoNawaza mipango ikifeli akachomoa mtaambia Nini watu?? Kwani hakuna namna nyingine tofauti na parapanda?? Em waje na plan B kama wapo serious.
Mi mkulima, mpunga wangu umeanza chanuaNa wewe pia umo unaendelea kuuchangia.
Mungu akitaka jambo lake ya wanadamu yanasubiri kwanza .Wao si wanasema mwaka huu hawataki kufa... Wana jambo lao!🙄🙄
Kwani wachangiaji wengine unawalisha wewe , humu kila mtu ana mishe zake hata chawa Lucas Mwashambwa naye ana kazi yake ya uchawa wa mama.Mi mkulima, mpunga wangu umeanza chanua
Mi nakula milo mitatu na kingine nampa mbwa wangu,we huli milo mitatuKwani wachangiaji wengine unawalisha wewe , humu kila mtu ana mishe zake hata chawa Lucas Mwashambwa naye ana kazi yake ya uchawa wa mama.
Nchi haipaswi kuongozwa na utashi wa mtu bali mifumo imara. NO REFORMS,NO ELECTIONWatu mna roho mbaya!!! amewakosea nini mama wa watu mpaka mumuombee kifo? She is the best president ever; ngojeni ipo siku mtapata hicho mnachokitafuta. atakuja raisi hapa namna atakavyo watesa mtamkumbuka huyu mama wa watu. I love her kwa kweli na ninamuombea heri; wachawi watatangulia wao
Sasa kaka Mshana mawingu kama hayo si huwa yapo siku zote?. Kuna wingu gani jipya kabisa hapo?😄Kuna wingu la mvua ya baraka
Kuna wingu la mvua ya laana
Kuna wingu la mvua ya majanga
Kuna wingu la mvua ya radi na kimbuka
Yote ni mawingu
HakunaSasa kaka Mshana mawingu kama hayo si huwa yapo siku zote?. Kuna wingu gani jipya kabisa hapo?😄
Am here to stay.. Mark these words .. Eleweni kilichoandikwaHata wewe unaweza kufa vilevile
Naona tunajivika madudu above our paycheck
Huyo aliyeenda toba may come back na mkawa wote
Magu alikufa before Lowassa, na wengi wamekufa wakiuguza wagonjwa
Count your blessings bro…. Probably your days are done as well