Kagame ameingia kibabe sana kwenye mkutano wa amani wa viongozi wa SADC&EAC hapa Dar!

Your browser is not able to display this video.
 
Angekuwepo yeye binafsi ingekuwa rahisi hata viongozi wenzake kuwashinikiza yeye na PK wafikie aina fulani ya muafaka Ili kupunguza mvutano.
Nchi amwachiye nani kipindi hiki cha machafuko?
M23 hawajaja hapo sembuse yeye
 
Wanamnyonga Major wao!
Tshisekedi akiona hadi Major kawa mole wa M23 lazima jasho limchuruzike.
Na unaweza ukakuta ilikiwa baada ya hiyo mission ya hapo Goma ilikuwa avutwe na kuingizwa kwenye circle ya walinxi au washauri wa rais wa maswala ya Ulinzi na Usalama
 
Hakika, ni wendawazimu kung'ang'ania linchi likubwa ambalo halitawaliki na serikali. Kama imeshindikana kuelewana huko Mashariki na Kivu wapewe tu nchi yao, vita iishe watu wafanye maendeleo.
 
Kagame na Museven ni fitina kubwa katika eneo letu mpaka wawe eliminated ndo eneo lipate amani, wote ni homocidal dictators bloodsunkers, power greedy wezi na fisadi wa kubwa.......hawana huruma na wenyeji wa nchi zao.
Wote hao wawili walishika madaraka ya nchi zao kwa uasi - waliziangusha tawala zao kwa mapinduzi ya msituni.
Wanatakiwa kushtakiwa kwa uhaini.
 
Hakika, ni wendawazimu kung'ang'ania linchi likubwa ambalo halitawaliki na serikali. Kama imeshindikana kuelewana huko Mashariki na Kivu wapewe tu nchi yao, vita iishe watu wafanye maendeleo.
Unataka kutuambia Kongo ni nchi kubwa jinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…