Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!
Kuilinganisha South Africa na Rwanda ni sawa na Kulinganisha Landcruiser na Passo
Rwanda haina uwezo wowote wa kuipiga South Africa labda uwezo wa kuotea na kurusha bomu kama alshabab. Mji mmoja tu kama Cape town au Johannesburg au hata Durban, una nguvu ya uchumi kuliko nchi nzima ya Rwanda
Hiyo miji ni mikubwa sana sema soweto
 
Waulize Wamarekani walichokutana nacho Vietnam kwa Viet Cong, Labda Tz ndio wanaweza wakatoana jasho na Rwanda ila SA ni wepesi sana kwa Rwanda.
Huyo hatutoi jasho hata miezi 3
 
Kagame ni yule dogo Fulani mtaani nunda ana mikwara na watu wanamgwaya kwa mikwara yake,ila siku Kuna mtu msiyemtarajia akamchoka na mikwara yake hapo kitaa akapiga kama Ngoma.

Huyo PAKA ni overrated sana,mikwara ndiyo mingi.
Labda anakitu kinampa manguvu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kiburi kikizidi sana,mwishowe ni aibu!
High time mr slim ajue his position, yy sio tishio kwa lolote zaidi ya ukibaka anaoufanya Drc kwa support ya some western countries, aache ulafi na ubinafsi unaotuhumiwa kuwa sehemu ya jamii ya kitutsi,anonesha wazi wao ni jamii ya namna gani na dunia iwaangaliaje na kudeal nao vp.
Naskia ana intelligence kali

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Punguzeni kula ugolo vijana.

Wewe ukimjua mwakinyo anapigana orthodox na udhaifu wake ni upande wa kushoto ndiyo utafanya uanze kumchimba mikwara kisa unajua udhaifu wake wakati kiuhalisia hauna uwezo wowote wa kusimama na mwakinyo kwenye ring.au ubovu wa Manchester united ndiyo coastal union aanze mikwara na kumkazia kwamba wakikutana man u atakula nyingi?

Rwanda amazie South Africa ambae anatengeneza silaha zake za kivita na anaziuza hadi nchi zilizoendelea huko mambele. Nyie watu asee!!

Wabongo hivi mmekuwaje?
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom