Atakawa na nyuklia ndo maana anajiamini sana kama kim jong un
 
Hiyo miji ni mikubwa sana sema soweto
 
Waulize Wamarekani walichokutana nacho Vietnam kwa Viet Cong, Labda Tz ndio wanaweza wakatoana jasho na Rwanda ila SA ni wepesi sana kwa Rwanda.
Huyo hatutoi jasho hata miezi 3
 
Kagame ni yule dogo Fulani mtaani nunda ana mikwara na watu wanamgwaya kwa mikwara yake,ila siku Kuna mtu msiyemtarajia akamchoka na mikwara yake hapo kitaa akapiga kama Ngoma.

Huyo PAKA ni overrated sana,mikwara ndiyo mingi.
Labda anakitu kinampa manguvu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Naskia ana intelligence kali

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…