yaani naumia mimi wakati sio mwanasimba, hivi mbona mna wachezaji wazuri lakini mnafeli? huyu kocha ndio kafundisha madrid kweli? inauma sana.
 
Kama kocha na mashabiki wa Simba wanafikiri itakua rahisi kwa timu yao kucheza bila no 9 au 10 wenye Asili ya mshambuluaji wa Kati, Leo watajua kua hawajui. Ni kosa kubwa na timu itakosa balance.
Kumbe uliwaambia hili jambo!? Nadhani wamekuelewa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…