Banah wewe tatizo nini palee.. mbona sio kawaida
 
Mbona hatujasajili mchezaji wa anaeleweka angalau striker aliyekamilika kama fiston mayele! cha ajabu tunaletewa kina mhilu jamani? mimi ni simba damu ila kuna muda ukweli usemwe hapa tulipigwa
 
Acha mihemko.. hatuwezi tukawa sisi ndo wakushinda miaka yote.. kuna wakati timu inakuwa juu na wakati mwingine inakuwa down.. ko ni ishu ya kuvumilia tu..
 
Hahahaaa. Tuliwavumilia sana ile misimu minne shem.

Hapa ndo tunawaonyesha kwamba na sisi tulikuwa tunaumia kama wao wanavyoumia sasa.. 🤣🤣
Wakumbushe na formula ya ubingwa mpaka sasa.

Ili wawe mabingwa lazima yanga apoteze mechi tatu na draw mbili na wao washinde mechi zao zote zilizobaki.

Tuwapatie kisu wakate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…