Inawezekana labda huoni mashambulizi yanayo fanyika mkuuHilo pila linalochezwa sijui mnauonea wapi. Mimi naona uchezaji wa kawaida tu, mechi imepooza, Simba uwezo wa kushinda wanao ila wongeze kasi kwenye kushambulia
😄😄😄 daah!Bwalya huyo kipa sio mke wako mzee
Makolo naona wanapaparika paparika kam popcorn
Tulia presha ya nini Kwa pilipili usoila 🤣Makolo naona wanapaparika paparika kam popcorn
Yote nimatokeo ya mpira maana hawachezi wenyewe uwanjani.Tikipigwa au kutoa droo kwenye huu uwanja nitaamini kuwa Timu yangu ni mbovu msimu huu.
Naam kweli kabisa mtani lakini huyu kocha maisha yake ni mafupi....Sio ajabu kocha kufukuzwa.
nyinyi wengine mpira mnalazimisha tu mngebaki kule kwenye mada za kula tunda kimaskhara.
Sijui alikuwa anawaza nini kapoga nje daahKapombeee....kafakisha
[emoji1][emoji1][emoji1]Makolo naona wanapaparika paparika kam popcorn
Nilichokuja gundua ni kwamba hawa wachezaji ambao wanalipwa kufanya hiyo kazi ya kuwapatia matokeo mashabiki wala hawaumii kama wanavyoumia mashabiki ambao hata kumi hawalipwi haiwezekan game ambayo mnahitaji matokeo mnacheza show show halafu dakika za mwisho ndiyo wanajifanya wanaharakaKwa jinsi Simba tunavyocheza ni kujitoa ufahamu kuamini kuwa bingwa msimu huu ni Simba. Timu inachechea mpira muda mwingi kuliko kupambana kiume kutafuta matokeo kwa kulazimisha. Akina Bwalya na wenzake wanachezea nafasi huku wakichelewesha mipira kitu kinachopelekea timu pinzani kujipanga kikamilifu kuziba nafasi. Mwisho wa siku tunailamu TFF na GSM wakati timu inacheza kitoto muda mwingi. Tukiendelea hivi hata nafasi ya pili tutaipata kwa mbinde
[emoji23]Duuuh hiyo rough mbona kama niliiona kwenye shaolin soccer