Yaani tunaumia sisi mashabiki huku wachezaji wakifurahia mpunga. Baadae utasikia viongozi wanatuhadaa na kutudanganya kwa maneno ya kipuuzi ya kusingizia viwanja vibovu, referees, TFF na GSM, wakati tunaona kinachofanyika uwanjani ni utoto mtupu unaofanywa na Simba.
 
ila hii game ilitakiwa kipindi cha kwanza Simba iwe hata na goli moja
 
Aisee ni mda kapombe naye akae benchi hadi akili zimkae
 
Sio kila anayetoa mawazo mbadala usidhani ni mshabiki wa Yanga, wengine tunaongea uhalisia sio ushabiki. Mpira ni mchezo wa wazi kila kitu kinaonekana. Simba haipambani kiume kama ilivyokuwa kwa misimu minne iliyopita na huo ndo ukweli
 
Ona wachezaji wanavyo devera halafu timu ikipata matokeo mabaya lawama ziende kwa kocha

Na ndio maana nasema kuna mashabiki wasio jielewa humu ndani, hivi kwa umazafaka wanaofakisha kina muzamiru na kapombe utampa kocha lawama kwa kipi?
Ambangile akisema huwa tunakua wakal kapombe is finished

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kona ya kwanza kwa simba na kona ya kwanza kwa mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…