Pumbavu,chama hayumo??Kocha anazingua amuingize kagere na chama fasta
Kwa nini TFF waruhusu kutumia uwanja mdogoKama Simba itaendelea kucheza bila mshambuliaji wa Kati itawawia vigumu kupata matokeo labda itokee penati. Kwa uwanja ulivyo na saizi ndogo na hakuna movement za kutosha na temple ya game iko chini yaani apo Kagera Wana enjoy kwelikweli.
Basi wewe ndio ujielewi ndugu.Ona wachezaji wanavyo devera halafu timu ikipata matokeo mabaya lawama ziende kwa kocha
Na ndio maana nasema kuna mashabiki wasio jielewa humu ndani, hivi kwa umazafaka wanaofakisha kina muzamiru na kapombe utampa kocha lawama kwa kipi?
Sasa kama mtu anakosa mpira kama ule ushindi gani tunatafutaule mpira hata mwanaye hawezi kukosa maana pale ilikuwa ni kugusa tuu
Dah umeumia sana mkuuPumbavu,chama hayumo??
Nisamehe tu mkuu nina hasira kichizi Hadi kwikwi!!!
Wchezaji wan..wannnaa..wanadevv..devera tu!! Hawaju.."hig"..jui.."hig"..hawajui kama "hig" Kama tunaoteseka "hig" teseka ni sisi "hig" washa "hig" shabiki!!
yaan ile demu wake huko alipo anamcheka hadi sasa hivi na amemuita mwanaye amuangilie baba yake alivyokosa goli la wazi kabisaIle ya mzamiru hata bambo asingekosa
Matusi hayasaidii Mkuu, hakuna mchezaji hapo sishangai ndiyo maana Morocco wamemtemaUmepigwa wewe na nani??
Kwa maoni yangu, ni kweli kabisa umepigwa kinyeo.
UKiangalia vizuri wakati anataka kupiga beki wa Kagera alimgogesha mguu akapoteza uelekeo wa mguu kupiga mpiraule mpira hata mwanaye hawezi kukosa maana pale ilikuwa ni kugusa tuu
Kapombe anastahili tusi kubwa sana
Kapombe anaboa,kiwango kimeisha mno
Angalia mpira aliokosa Mzamiru ,Ile cross ya chini ya morison
Dah! Naona jumba bovu linawaelekea Kapombe na Mzamiru! Hii ni baada ya mwalimu kuwaacha nje washambuliaji wake wote tegemeo kutokana na lawama kama hizi.Naye mzamiru anafanya flexing kwenye moment ambayo nje kuna watu wameweka pesa zao walitegemea chance kama zile ziwaingizie mpunga maradufu afu ye anataka magoli ya kideo