Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Ila huyu Kanoute hii namba SITA hawezi vizuri pengo la Mkude na Tadeo Lwanga linaonekana wazi pale katikati.Kwa mara ya kwanza simba inacheza mpira uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila huyu Kanoute hii namba SITA hawezi vizuri pengo la Mkude na Tadeo Lwanga linaonekana wazi pale katikati.Kwa mara ya kwanza simba inacheza mpira uwanjani
kweli kabisa.kabisa kinachotakiwa ni goli pigeni kwanza goli biriani baadaye biriani bila goli halinogi kabisa
Hawajiamini haoHapa sasa hivi [emoji196] kama hawapo vile wanasubiri Simba afungwe ndiyo waanze kumiminika mtulie hivyo hivyo huko huko
Viwanja vinaruhusu watu kucheza, hata Messi huwezi kumpima kwenye lile jaruba la mbeya.Sakho ni jini huyu
Alichomesha pale, luckly haikuleta madharaIla huyu Kanoute hii namba SITA hawezi vizuri pengo la Mkude na Tadeo Lwanga linaonekana wazi pale katikati.
Acha kubeza ngoja tuone plan yake mpaka Sasa timu Bado inatembea vizuri tuKama kocha na mashabiki wa Simba wanafikiri itakua rahisi kwa timu yao kucheza bila no 9 au 10 wenye Asili ya mshambuluaji wa Kati, Leo watakua kua hawajui. Ni kosa kubwa na timu itakosa balance.
Ni lazima ataingiza striker ili kuepusha team kupaki basi nyuma.lakini baadaye atamuingiza hata mmoja
Ingefungwa lingekuwa goli lake lile kiukweli pale katikati pamepwaya sanaAlichomesha pale, luckly haikuleta madhara
Hilo pila linalochezwa sijui mnauonea wapi. Mimi naona uchezaji wa kawaida tu, mechi imepooza, Simba uwezo wa kushinda wanao ila wongeze kasi kwenye kushambuliaNaam pira linachezwa na nilitarajia hivo kutokana na kujaa viungo wengi