Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Kama kocha na mashabiki wa Simba wanafikiri itakua rahisi kwa timu yao kucheza bila no 9 au 10 wenye Asili ya mshambuluaji wa Kati, Leo watakua kua hawajui. Ni kosa kubwa na timu itakosa balance.
Acha kubeza ngoja tuone plan yake mpaka Sasa timu Bado inatembea vizuri tu
 
Hawa jamaa mbona wanacheza kama wameshinda 3 bila vile siwasomi
 
Naam pira linachezwa na nilitarajia hivo kutokana na kujaa viungo wengi
Hilo pila linalochezwa sijui mnauonea wapi. Mimi naona uchezaji wa kawaida tu, mechi imepooza, Simba uwezo wa kushinda wanao ila wongeze kasi kwenye kushambulia
 
Daikia ya 23 simba inapiga on target lakini kipa anakaa vizuri na kuondoa shambulizi
 
Back
Top Bottom