Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Wanapa vyura Chakuongea tu humu jinga kabisa hawa
 
Benchi la Ufundi na wachezaji wetu wajitafakari hii haikubaliki kabisa wanapaswa kuwajibika
Wewe achaaa wee yule profeshenali kutoka Madrid ndiye anaye liongoza benchi la ufundi,anagonge lugha tatu kingereza, Kispaniola, kireno na mjomba Mkude sasa hivi anamfundisha kiswahili.
 
Tumepakuliwa tena

FB_IMG_1642914551752.jpg
 
Back
Top Bottom