musa abel jr
Member
- Oct 12, 2016
- 43
- 67
Nahitaji kujua maisha ya simba baada ya kuiwa na wakulima wa miwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Sio kila muda mamipira tu
Hivi shahidi wa leo kwenye kesi ya mbowe alifanyiwa cross examination?
Wewe achaaa wee yule profeshenali kutoka Madrid ndiye anaye liongoza benchi la ufundi,anagonge lugha tatu kingereza, Kispaniola, kireno na mjomba Mkude sasa hivi anamfundisha kiswahili.Benchi la Ufundi na wachezaji wetu wajitafakari hii haikubaliki kabisa wanapaswa kuwajibika
Atalea ujauzitoNahitaji kujua maisha ya simba baada ya kuiwa na wakulima wa miwa
🤣 🤣 🙌 Kweli akili za kuambiwa changanya na za kwakoKua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.
kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.
Nguvu MOYA.Mtani hebu naomba nikachekee nje ya huu uzi kwanza. Hahahahahahaaaaa.
Duh...! Mungu yupo.Pamoja na yote tunayopitia kama timu lakini bado naamini timu itakaa sawa tu, ni swala la muda tu.
SIMBA NGUVU MOJA
Itakuwa zidane hajapokea simu ya proffesor, labda aliweka chaji.Wewe achaaa wee yule profeshenali kutoka Madrid ndiye anaye liongoza benchi la ufundi,anagonge lugha tatu kingereza, Kispaniola, kireno na mjomba Mkude sasa hivi anamfundisha kiswahili.
Usijali kunadirisha dogo plus mtasajili tena na Luis atakuja.Pamoja na yote tunayopitia kama timu lakini bado naamini timu itakaa sawa tu, ni swala la muda tu.
SIMBA NGUVU MOJA
Si tulikubaliana huyu ni sawa na zidane?Benchi la ufundi limepwaya, wanatakiwa kuondolewa wote kuanzia kocha mkuu mpaka wasaidizi wake wote wakiwemo kina Matola.
Better late than never.