Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
kiiza-data.jpg
 
Simba, mchukueni Mukoko Tonombe na Ditrum Nchimbi, mtaokoa jahazi
 
Benchi la Ufundi na wachezaji wetu wajitafakari hii haikubaliki kabisa wanapaswa kuwajibika
Mimi niliona makosa toka walipomtoa morison badala ya mzamiru,ila wewe ukatetea.Timu ilishakua na uwezo wakumiliki mipira kilichokosekana ni mtu wa kati wakumalizia.kwahiyo kama angebaki morisoni akapita pembeni na sako pembeni ingekua kazi nyepesi sana kumalizia mipira katikati.

Lakini pia sikuona sababu ya kocha kuanza na mfumo wa viungo wengi bila mshambuliaji wa kati.Kungekua na mshambuliaji wa kati kungemfanya chama acheze juu zaidi tofauti na leo kalazimika kucheza sana eneo la chini.kwahiyo naungana na wewe kua timu inashida kubwa ya kitaalamu kwenye benchi la ufundi na wachezaji wenyewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.

kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.
Acha utapeli
 
Back
Top Bottom