Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Dunia nzima ni young Africa peke hawajawahi kupoteza mechi , young Africa unbeatable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona raha kweliSimba kwa kikosi hiki, ni raha kolea.
Go Mnyama!.
Hahahaaaa.
Hadi nimepaliwa Mkuu.
Kale kamsemo ka kila mtu ashinde mechi zake ndo kanateki plesi.
Mbona wapo wengi tuBado kuna wajinga wanaamini Simba inahujumiwa, hii timu walahi itatuua mwaka huu
Kitendo cha kuondoka na kurudi ni wazi kiwango kimeisha.Chama kurudi Simba ni kama Ronaldo alivyorudi Man Utd, wamekuja kuongeza matatizo
Mimi niliona makosa toka walipomtoa morison badala ya mzamiru,ila wewe ukatetea.Timu ilishakua na uwezo wakumiliki mipira kilichokosekana ni mtu wa kati wakumalizia.kwahiyo kama angebaki morisoni akapita pembeni na sako pembeni ingekua kazi nyepesi sana kumalizia mipira katikati.Benchi la Ufundi na wachezaji wetu wajitafakari hii haikubaliki kabisa wanapaswa kuwajibika
Nikupe kitanzi ndugu?Ila kama ni mateso haya ya sasa ni maradufu. Malipo ni hapa hapa dunia.
Acha utapeliKua na amani,tena kama ni mtu wa kubeti weka hela yako ya kulipa kodi ya nyumba,pesa ya bili ya maji,luku,changanya na ada ya mtoto shule.
kisha agiza Mo Cola usubiri dk 90 ziishe uvune mi Dangote yako.
Ata Mimi naonaSakho ni jini huyu
Si tulikubaliana kocha kafanya kazi na zidane?Mimi niliona makosa toka walipomtoa morison badala ya mzamiru,ila wewe ukatetea.Timu ilishakua na uwezo wakumiliki mipira kilichokosekana ni mtu wa kati wakumalizia.kwahiyo kama ...