Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba
Dah! Mpira raha sana. Wapi Papaa Pablo! Kocha kutoka Real Madrid!! 😁😁😁

Bora ufanye uamuzi mgumu wa kujiuzulu mapema ili kulinda heshima yako! Yaani utoke Real Madrid halafu unakuja kujidhalilisha hapa Bongo!
 
Mimi niliona makosa toka walipomtoa morison badala ya mzamiru,ila wewe ukatetea.Timu ilishakua na uwezo wakumiliki mipira kilichokosekana ni mtu wa kati wakumalizia.kwahiyo kama angebaki morisoni akapita pembeni na sako pembeni ingekua kazi nyepesi sana kumalizia mipira katikati.Lakini pia sikuona sababu ya kocha kuanza na mfumo wa viungo wengi bila mshambuliaji wa kati.Kungekua na mshambuliaji wa kati kungemfanya chama acheze juu zaidi tofauti na leo kalazimika kucheza sana eneo la chini.kwahiyo naungana na wewe kua timu inashida kubwa ya kitaalamu kwenye benchi la ufundi na wachezaji wenyewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Weweeeeeee hivi ina maana ww unajua kuliko Pablo kutoka Madrid.
 
Back
Top Bottom