Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

Yaani, sijui tu Magu anampango gani, I can smell huko mbele Kahama kumegwa kipande na kwenda Geita then Chato inakua Mkoa! Moja ya wilaya za Mkoa wa Chato ni Bukombe, Kipande cha Kahama na Chato yenyewe.
SHinyanga kwa maana ya wilaya ya kahama ishamegwa siku nyingi tutengeneza mkoa wa geita kuazia nyakanazi ilikuwa mkoa wa shinyanga wilaya ya kahama sasa hivi ipo biharamulo.

Wilaya ya mbogwe sijui masumbwe kuna viwilaya vya kisaaniii kutokea kahama kwenda chato kama vitatu hivi..shinyanga ilibakiwa na wilaya 3 yaani kishap.

Shinyanga manispaa na kahama...sasa shinyanga ikipokonywa kahama itabakiwa na wilaya 2 na halmashauri tatu mkoa mzima..itakiwa ajabu
 
Ukiona hivo Ujue Mkurugenzi ama ni Mtoto wake, Mtoto wa Dada yake, au mtoto wa Mafisadi wanaosimamia Biashara zake..

Au kuna ardhi au shamba au Mali nyingine yoyote ile huyo Mkurugenzi amefanikisha Magufuli amiliki; Talk about Corruption, Nepotism
 
Ukiona hivo Ujue Mkurugenzi ama ni Mtoto wake, Mtoto wa Dada yake, au mtoto wa Mafisadi wanaosimamia Biashara zake..

Au kuna ardhi au shamba au Mali nyingine yoyote ile huyo Mkurugenzi amefanikisha Magufuli amiliki; Talk about Corruption, Nepotism
Bhagooshaa.... Hyiiiiiiiii
Ango am corruption nepotism...!?
 
Wale ambao walikuwa wanamdiss sijui wataweka wapi sura zao sasa.

Mchezo umeisha tayari anarudi kutumia V8 hati yake ya kazi kumbe ilikuwa safi kuliko mkuu alivyotarajia.
Mkuu huo utendaji wake hasa ndio uliomponza na si hiyo V8 maana kuna watu kawabana ili afanye maendeleo ya Kahama hicho wengi hawakipendi.
 

Agizo la kufyatua watoto limetekelezwa kwa 100%
 
Wale ambao walikuwa wanamdiss sijui wataweka wapi sura zao sasa.

Mchezo umeisha tayari anarudi kutumia V8 hati yake ya kazi kumbe ilikuwa safi kuliko mkuu alivyotarajia.
Jamaa kaosha leo

Magu ampeleke Dodoma sasa, bado hapajakaa kisasa...

Anahitajika great thinker... Anderson is one of them
 
Wilaya ya Kahama ina watu 1.2m na Manispaa ndio ina 320k kwa makadirio ya mwaka 2021
 
Kama mada inavyojieleza,

Tunaona suala la ununuzi wa magari ya Wakurugenzi kwa bei ya anasa limezimwa.
Wazalendo tunajiuliza maswali mengi sana; huenda ni kweli kuwa mheshimiwa Rais amewaogopa Wakurugenzi au Jaffo au PM
Sasa tunaomba tujue, kati ya hawa ni nani uliyemuogopa?.

Tunaumia sana mali zetu zinapotumika vibaya halafu mlinzi mkuu wa mali zetu anakaa kimya na anasamehe bila sababu mmoja wa watuhumiwa (DED wa Kahama). Mheshimiwa, tuambie.

Unamwogopa yupi?
 
Mi nadhani Kuna Mambo makubwa ambayo huyu DED aliyafanya,kwa kujitoa au hata kuhatarisha maisha yake,na huenda yalikuwa hayafahamika kwetu.kama alivyosema jpm asijisahau sikunyingine akarudia ujinga huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…