shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,693
- 1,432
SHinyanga kwa maana ya wilaya ya kahama ishamegwa siku nyingi tutengeneza mkoa wa geita kuazia nyakanazi ilikuwa mkoa wa shinyanga wilaya ya kahama sasa hivi ipo biharamulo.Yaani, sijui tu Magu anampango gani, I can smell huko mbele Kahama kumegwa kipande na kwenda Geita then Chato inakua Mkoa! Moja ya wilaya za Mkoa wa Chato ni Bukombe, Kipande cha Kahama na Chato yenyewe.
Wilaya ya mbogwe sijui masumbwe kuna viwilaya vya kisaaniii kutokea kahama kwenda chato kama vitatu hivi..shinyanga ilibakiwa na wilaya 3 yaani kishap.
Shinyanga manispaa na kahama...sasa shinyanga ikipokonywa kahama itabakiwa na wilaya 2 na halmashauri tatu mkoa mzima..itakiwa ajabu