Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
TBH imechelewa sana kupandishwa hadhiSijawahi kufika huko zaidi ya Shy mjini, siku nikifika nitaweza kujionea kwa macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBH imechelewa sana kupandishwa hadhiSijawahi kufika huko zaidi ya Shy mjini, siku nikifika nitaweza kujionea kwa macho.
Endeleeni kuchapa kazi na kukusanya kodi kwa wingi. Tutawafikiria siku zijazo.Sisi IDAHINA Kahama mnatupa lini kuwa kata!?
Maana wenzetu KAGONGWA mmewapa, NYEGEZI Tayari, BUZILANKENDE Tayari, KATERERO Tayari, Kule kata ya NGONO Tayari, BUDODA Tayari n.k
ok ok nireteeni gwajima.Kuwait I think mkuu
Haijawa kubwa au haipo?Tunasubiria kwa hamu kuhusu mustakabali wa nchi juu ya Corona, wananchi wengi tupo njiapanda juu ya kauli yake ya jana ''Sisi Tanzania hali ya Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana''
Mzalamo huyo, anaweza kukusuta mpaka ufe, na anaweza kukusifia mpaka ujione kama ndiyo wewe uliyeziumba mbingu na nchi. Hovyo sana, naona anaipigia jaramba sana nafasi ya Uwaziri Mkuu, yaani Katelefoni ajichunge kweli kweli,dogo ana malengo ya mbali sana.Huyu ni wa wapi kwao? Mzaramo?
Yule akishavuta ganja zake hanaga aibusasa msukuma ataficha wapi uso wake?
Nakumbuka ulimsifia mh Raisi alipomtumbua, Leo tena kurudishwa kama sio wewe vile.Source TBC
Hongera mkurugenzi kwa kuchapa kazi na kuipaisha Kahama kuwa manispaa.
Maendeleo hayana vyama!
Huyu hakutumbuliwa na Rais Magufuli.Nakumbuka ulimsifia mh Raisi alipomtumbua, Leo tena kurudishwa kama sio wewe vile.
Maendeleo hayana chama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app