Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

Hizi ndio Kangaroo Courts....

Ila cha kusikitisha ni kodi zetu ndio zinatumika na zitatumika kulipa / kuwalipa hawa ambao huwa wananaswa / chafuliwa bila kufanya due dilligence
 
Sisi IDAHINA Kahama mnatupa lini kuwa kata!?
Maana wenzetu KAGONGWA mmewapa, NYEGEZI Tayari, BUZILANKENDE Tayari, KATERERO Tayari, Kule kata ya NGONO Tayari, BUDODA Tayari n.k
Endeleeni kuchapa kazi na kukusanya kodi kwa wingi. Tutawafikiria siku zijazo.
 
Tunasubiria kwa hamu kuhusu mustakabali wa nchi juu ya Corona, wananchi wengi tupo njiapanda juu ya kauli yake ya jana ''Sisi Tanzania hali ya Corona haijawa kubwa na haipo, iko chache sana''
Haijawa kubwa au haipo?

Hizo kauli mbili tofauti kazipandishia pamoja.
 
Huyu ni wa wapi kwao? Mzaramo?
Mzalamo huyo, anaweza kukusuta mpaka ufe, na anaweza kukusifia mpaka ujione kama ndiyo wewe uliyeziumba mbingu na nchi. Hovyo sana, naona anaipigia jaramba sana nafasi ya Uwaziri Mkuu, yaani Katelefoni ajichunge kweli kweli,dogo ana malengo ya mbali sana.
 
Waziri wa Tamisemi mh Selemani Jafo amemwambia Rais Magufuli kwamba katika uchaguzi mkuu uliopita mkoa wa Morogoro ndio ulioongoza kwa kumpa kura nyingi Rais Magufuli ukifuatiwa na mkoa wa Shinyanga.

Jaffo alikuwa akizungumzia umuhimu wa mkoa wa Shinyanga katika kutekeleza ilani ya CCM.

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Sasa wanavyosema kura zililetwa kwenye mabegi na hawa members wanaoapia kwamba karatasi za matokeo zilibandikwa bila kujali idadi halisi wanamaanisha walioleta kura kwenye mabegi walipanga kabisa mkoa upi uonekane umeongoza kwa kumpa kura?
 
Back
Top Bottom