TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

Hivi Barakoa nzuri ni za Vitambaa au zile za kutoka kwa Mabeberu? Nasubiri Majibu yenu ya haraka tafadhali.
Jiwe aliwadanganya sana na Ndugulile alipotoka na kutolea ufafanuzi kwanini "surgical masks" ndizo zinafaa, alitumbuliwa haraka.
 
Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
yaani we dada akili yako iko matakoni kabisa yaani hata suala nyeti la msiba unalileta kisiasa? sasa wengine tunashindwa kutoa pole kwa sababu tuna alegy na chadema bora ungeiandika kiutu ili wote tushiriki sasa muwish rip pekeyako kama unaona kuwa hata msiba ni wa kukejeli
 
Pole nyingi kwa Mh. Mbowe na familia. Marehemu apumzike kwa amani - AMINA.

Hapo red; isomeke "Mimi binafsi" na sio "Kwa niaba yangu binafsi"; huwezi kujiwakilisha!
Nimeona wengi hutumia niaba kama kwa ajili ambapo ni makosa
 
Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
yaani we dada akili yako iko matakoni kabisa yaani hata suala nyeti la msiba unalileta kisiasa? sasa wengine tunashindwa kutoa pole kwa sababu tuna alegy na chadema bora ungeiandika kiutu ili wote tushiriki sasa muwish rip pekeyako kama unaona kuwa hata msiba ni wa kukejeli
Pole sana familia na poleni sana wanachadema

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani naye alikuwa chadema?mbona mnamlazimisha kuwa huko?
 
yaani we dada akili yako iko matakoni kabisa yaani hata suala nyeti la msiba unalileta kisiasa? sasa wengine tunashindwa kutoa pole kwa sababu tuna alegy na chadema bora ungeiandika kiutu ili wote tushiriki sasa muwish rip pekeyako kama unaona kuwa hata msiba ni wa kukejeli

kwani naye alikuwa chadema?mbona mnamlazimisha kuwa huko?
Amesema wapi kuwa marehemu alikuwa Chadema? Haukuwa na mpango wa kutoa pole na ni vyema usipoitoa maana pole za watu kama wewe ni nuksi na zina mikosi.

Amandla...
 
AYUBU 14:1"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamkeSiku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu''.
 
Amesema wapi kuwa marehemu alikuwa Chadema? Haukuwa na mpango wa kutoa pole na ni vyema usipoitoa maana pole za watu kama wewe ni nuksi na zina mikosi.

Amandla...
yaani huyo mama aliyeandika kaandika kinafiki sana eti wanachadema mpuuzi kweli mnafiki huyo
 
Pole nyingi ziende kwa familia ya bwana Charles Mbowe pamoja na familia ya Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kuondokewa na mpendwa wao.
 
Back
Top Bottom