Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Mbowe aliwahi chanjo.COVID 19 NI HATARI
Sawa kabisa, hicho ndicho Kiswahili fasaha na chenye mantiki... Pole nyingi kwa Mh. Mbowe na familia. Marehemu apumzike kwa amani - AMINA.
Hapo red; isomeke "Mimi binafsi" na sio "Kwa niaba yangu binafsi"; huwezi kujiwakilisha!
Jiwe aliwadanganya sana na Ndugulile alipotoka na kutolea ufafanuzi kwanini "surgical masks" ndizo zinafaa, alitumbuliwa haraka.Hivi Barakoa nzuri ni za Vitambaa au zile za kutoka kwa Mabeberu? Nasubiri Majibu yenu ya haraka tafadhali.
yaani we dada akili yako iko matakoni kabisa yaani hata suala nyeti la msiba unalileta kisiasa? sasa wengine tunashindwa kutoa pole kwa sababu tuna alegy na chadema bora ungeiandika kiutu ili wote tushiriki sasa muwish rip pekeyako kama unaona kuwa hata msiba ni wa kukejeliTaarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
Hahahhaaaaa...R .I P Charles Mbowe. Kwenye vifo tunaweka uvyama pembeni.
Hahahaaaaaa.....Funza wanamsubiri kwa hamu [emoji1787][emoji1787]
Acha wamfaidi huko anakoenda!Hahahaaaaaa.....
Nimeona wengi hutumia niaba kama kwa ajili ambapo ni makosaPole nyingi kwa Mh. Mbowe na familia. Marehemu apumzike kwa amani - AMINA.
Hapo red; isomeke "Mimi binafsi" na sio "Kwa niaba yangu binafsi"; huwezi kujiwakilisha!
yaani we dada akili yako iko matakoni kabisa yaani hata suala nyeti la msiba unalileta kisiasa? sasa wengine tunashindwa kutoa pole kwa sababu tuna alegy na chadema bora ungeiandika kiutu ili wote tushiriki sasa muwish rip pekeyako kama unaona kuwa hata msiba ni wa kukejeliTaarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe.
kwani naye alikuwa chadema?mbona mnamlazimisha kuwa huko?
Amesema wapi kuwa marehemu alikuwa Chadema? Haukuwa na mpango wa kutoa pole na ni vyema usipoitoa maana pole za watu kama wewe ni nuksi na zina mikosi.yaani we dada akili yako iko matakoni kabisa yaani hata suala nyeti la msiba unalileta kisiasa? sasa wengine tunashindwa kutoa pole kwa sababu tuna alegy na chadema bora ungeiandika kiutu ili wote tushiriki sasa muwish rip pekeyako kama unaona kuwa hata msiba ni wa kukejeli
kwani naye alikuwa chadema?mbona mnamlazimisha kuwa huko?
yaani huyo mama aliyeandika kaandika kinafiki sana eti wanachadema mpuuzi kweli mnafiki huyoAmesema wapi kuwa marehemu alikuwa Chadema? Haukuwa na mpango wa kutoa pole na ni vyema usipoitoa maana pole za watu kama wewe ni nuksi na zina mikosi.
Amandla...
Nimecheka sana ! ccm inapenda sana vijana wajinga kama weweyaani huyo mama aliyeandika kaandika kinafiki sana eti wanachadema mpuuzi kweli mnafiki huyo