Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

issue sio kufanya zoezi moja kubwa unatakiwa iwe sehem ya maisha, ukifanya hivo 1 kubwa unaharibu misuli
Halafu kukimbia hovyo barabarani kwenye vyombo vinavyotoa moshi ni sawa na mvutaji wa sigara tu
 
Sio kuzoom wa kwetu hiyo ipo tu paja la binadamu mwenye afya , chini karibu na maungio ya goti kunatakiwa kuwe na herufi v akisimama na migawanyo miwili kwa pembeni sio paja linakua la mviringo kama chupa ya shampen
😁😁😁😄😄nimecheka sana
 
Ulikuwa mdogo.
kaka tatizo ni kubwa sana sio mda wa kuanza kusema nani yuko sahihi ama amekosea hali ni mbaya, zamani haya mambo ya kushare figo kulikua amna na hata hizo hospitali za kuchangiana figo hazikuepo
 
Sio umekula.nauli boss? Mazoezi elekea coco..
Hahaha hapana nilipanga Kila siku nahairisha ila Jana nilijilipua. Ila kurudi nilirudi na bajaji.
Safari haichoshi KWA sababu maeneo MENGI mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…