Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

Hayo ni mambo ya mjini , ukienda nje ya mji watu hawana vitambi, siyo wanaume wala wanawake
 
Kipindi unafanya mazoezi, angalia na Diet yako. Msosi ndio unatuua, hivyo isije ukawa unabeba maji Kwa kutumia nyavu, ni kazi Bure.
 
Siyo uvivu mkuu..

Kutembea ni salama Kwa Joints.. Too much jogging huja kuleta matatizo ya Joints as you age.
hapana mkuu, unavozidi kuforce mwili kufanya kazi nguvu misuli huchanika na kuunda mingine imara zaidi hivo kutengeneza ukakamavu ndo maaana unaona wanajeshi wanapasua mpaka matofali ama wachezaji mpira wanavokimbia dakika 90, jitahidi sana uwe mtu wa mazoezi uzee wako utakshukuru sana
 
Siyo uvivu mkuu..

Kutembea ni salama Kwa Joints.. Too much jogging huja kuleta matatizo ya Joints as you age.
why iwe too much jogging, everything thing too much is harmful.

take it in normal way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…