Ndio mada tunajadili hapa
Muhammad alikuta vitabu vya biblia yeye aka copy na ku edit kwa Nini alifanya hivyo , na Kwa Nini kaiba story za wayahudi
Mtu aniambie Allah alikuwa anakaaje kisura??Na uislamu ulitoka wapi??Kama ambavyo Quran inasema!!😳
Ila nyie wafuga majini hamna maarifa ya kiroho kabisa nimesoma huu ujinga wako hapa ndy nimechokaUmeanza kuwa kipofu wa kutokuweza kusoma unachojibiwa ???
Islam means peace , ni Amani. ilianza lini ni tokea kuumbwa ulimwengu. Amani ililetwa na Mungu mwenyewe.
SIFA ZA MUNGU
(a) Kutoka 33:17-20- Mungu haonekani:
“Bwana akamwambia Mussa nitafanya na neno hili ulilolinena kwa maana umepata neema mbele zangu nami na kujua jina lako, akasema nakusihi unioneshe utukufu wako . Akasema nitapitisha wema wangu wote mbele yako nami nitamfadhili yeye nitakayemfadhili ,nitamrehemu yeye nitakayemrehemu . Kisha akasema , Huwezi kuniona uso wangu , maana mwanadamu hataniona akaishi .
(b) Timotheo (1) 6:16 – Mungu haonekani wala hafi :
“Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribia , Wala hakuna mwanadamu aliyemuona , Heshima na uwezo una yeye hata milele Amina.
(c) Yohana 5:37- Sauti ya Mungu haijasikika:
Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote ,wala sura yake hamkuiona .
(d) Yakobo 1:17- Mungu habadiliki:
“Kila kutoa kuliko kwema na kila kitolewacho kilicho kamili hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika wala kivuli cha kugeuka geuka”
YESU ALIVYOPACHIKWA UUNGU
(a) Warumi 9:5
“Ambao mababu ni wao ,katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili . Ndiye aliye juu ya mambo yote . Mungu mwenye kuhimidiwa milele Amina.”
(b) Timotheo 3:16
“Na bila shaka siri ya utawa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili , akajulikana kuwa na haki katika roho , Akaonekana na malaika akahubiriwa katika mataifa akaaminiwa katika ulimwengu , Akachukuliwa juu katika utukufu”
(c) Tito 2:13
Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu.
YESU ALIVYOUKANA UUNGU
(a) Luka 18:18
“Tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza akasema , mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja , naye ndiye Mungu”
(b) Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”
(c) Yohana 14:28
“Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia naenda zangu tena naja kwenu kama mngalinipenda mngalifurahi kwasababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni Mkuu kuliko mimi”
UDHAIFU WA YESU KATIKA UUNGU
(a) Matayo 8:22-24 – Yesu alilala usingizi:
“Lakini Yesu akaniambia nifuate wache wafu wazike wafu wao akapanda chomboni ,wanafunzi wake wakamfuata kukawa msuko suko mkuu baharini , hata chombo kikafunikizwa na mawimbi naye alikuwa amelala usingizi “
Rejea Zaburi 121:1-4 Mungu halali
(b) Yesu alikuwa akionekana Rejea Kutoka 33:17 …….Timotheo
(1) 6:16 Mungu haonekani .
(c) Matayo 27:46 Wakristo wanaamini kuwa Yesu anamlilia Mungu
“Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?
(d) Matayo 20:20-23
“Ufalme wako , Yesu akajibu akasema , Hamjui mnaloliomba Je mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi?
Wakamwambia twaweza. Akawaambia mtakinywea kikombe changu, laikini kuketi mkono wangu wa kuume na mkono wangu wa kushoto sina amri kuwapa , bali watapewa waliowekewa tayari na Baba yangu.
In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
Mngerudi Kwenye mada , Mpaka tupo page ya 88 hakuna muislamu amepangua hoja ,ni kurukaruka tuWakorintho 1:25 NEN
Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, nao udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.
Ivi nyie wakristo nani alowaroga
Yni bible yenu inamtukana uyo mungu wenu bila ya chenga
Dah aibu naona mimi huku
Bado hujanielewa, nimekwambia Qur'an inasimama yenyewe tofauti na hicho kitabu kinachoitwa biblia ambacho watu walikaa na kukusanya maandiko tofauti tofauti hadi mengine wakayaacha na wakakusanya makorokoro mengine na kuweka humo.
Qur'an haina shida na Torat,Zabur wala Injili inavitambua na imevitaja.
Kwahiyo unapotaja hiyo biblia ni vyema kukumbuka hayo.
Ila nyie wafuga majini hamna maarifa ya kiroho kabisa nimesoma huu ujinga wako hapa ndy nimechoka
Quran haiwezi simana yenyewe wakati ndani yake imeweka bayana kuwa kama kutakuwa na maswali Kwa waumini wa Quran basi wawafuate Wakristo wakawasaidie.
Bila Shaka unajua kitabu cha Wakristo ni kitabu gani
Yani unaweweseka mpaka una quote watu wawili tofautiHicho ulichokiandika ndiyo maarifa yako ya kiroho yaliyompa Yesu uungu ???
wacha niende straight to the point👌Umeanza kuwa kipofu wa kutokuweza kusoma unachojibiwa ???
Islam means peace , ni Amani. ilianza lini ni tokea kuumbwa ulimwengu. Amani ililetwa na Mungu mwenyewe.
SIFA ZA MUNGU
(a) Kutoka 33:17-20- Mungu haonekani:
“Bwana akamwambia Mussa nitafanya na neno hili ulilolinena kwa maana umepata neema mbele zangu nami na kujua jina lako, akasema nakusihi unioneshe utukufu wako . Akasema nitapitisha wema wangu wote mbele yako nami nitamfadhili yeye nitakayemfadhili ,nitamrehemu yeye nitakayemrehemu . Kisha akasema , Huwezi kuniona uso wangu , maana mwanadamu hataniona akaishi .
(b) Timotheo (1) 6:16 – Mungu haonekani wala hafi :
“Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribia , Wala hakuna mwanadamu aliyemuona , Heshima na uwezo una yeye hata milele Amina.
(c) Yohana 5:37- Sauti ya Mungu haijasikika:
Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote ,wala sura yake hamkuiona .
(d) Yakobo 1:17- Mungu habadiliki:
“Kila kutoa kuliko kwema na kila kitolewacho kilicho kamili hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika wala kivuli cha kugeuka geuka”
YESU ALIVYOPACHIKWA UUNGU
(a) Warumi 9:5
“Ambao mababu ni wao ,katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili . Ndiye aliye juu ya mambo yote . Mungu mwenye kuhimidiwa milele Amina.”
(b) Timotheo 3:16
“Na bila shaka siri ya utawa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili , akajulikana kuwa na haki katika roho , Akaonekana na malaika akahubiriwa katika mataifa akaaminiwa katika ulimwengu , Akachukuliwa juu katika utukufu”
(c) Tito 2:13
Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu.
YESU ALIVYOUKANA UUNGU
(a) Luka 18:18
“Tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza akasema , mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja , naye ndiye Mungu”
(b) Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”
(c) Yohana 14:28
“Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia naenda zangu tena naja kwenu kama mngalinipenda mngalifurahi kwasababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni Mkuu kuliko mimi”
UDHAIFU WA YESU KATIKA UUNGU
(a) Matayo 8:22-24 – Yesu alilala usingizi:
“Lakini Yesu akaniambia nifuate wache wafu wazike wafu wao akapanda chomboni ,wanafunzi wake wakamfuata kukawa msuko suko mkuu baharini , hata chombo kikafunikizwa na mawimbi naye alikuwa amelala usingizi “
Rejea Zaburi 121:1-4 Mungu halali
(b) Yesu alikuwa akionekana Rejea Kutoka 33:17 …….Timotheo
(1) 6:16 Mungu haonekani .
(c) Matayo 27:46 Wakristo wanaamini kuwa Yesu anamlilia Mungu
“Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?
(d) Matayo 20:20-23
“Ufalme wako , Yesu akajibu akasema , Hamjui mnaloliomba Je mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi?
Wakamwambia twaweza. Akawaambia mtakinywea kikombe changu, laikini kuketi mkono wangu wa kuume na mkono wangu wa kushoto sina amri kuwapa , bali watapewa waliowekewa tayari na Baba yangu.
In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
Quran haiwezi simana yenyewe wakati ndani yake imeweka bayana kuwa kama kutakuwa na maswali Kwa waumini wa Quran basi wawafuate Wakristo wakawasaidie.
Bila Shaka unajua kitabu cha Wakristo ni kitabu gani
Usikimbie , kwanza hapa umeelewa ??wacha niende straight to the point👌
Nimeuliza Allah anakaaje kisura Kama jinsi Muhammad kaandika kwenye Quran????
Hamna hojaMngerudi Kwenye mada , Mpaka tupo page ya 88 hakuna muislamu amepangua hoja ,ni kurukaruka tu
Soma post number Moja , pangua hoja moja baada ya nyingine , mnarukaruka tu hamjibuHamna hoja
Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?Soma post number Moja , pangua hoja moja baada ya nyingine , mnarukaruka tu hamjibu
Unakwepa swali kijinga Sana 😂😂Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?
Nikiwaambia hmna hoja ujue tunaongea kwa facts sasa nyie huyo Mungu wenu anaomba msaada yni inshort sijui nisemaje ila wazungu wamewapiga na kitu kizito sana ety yesu ni mungu
Kuna uhuru huo ndio maana unaona watu hujadili au kubishana sana masuala ya dini kuliko sayansi.Nimesema sayansi haina mabishano? Au unaongeza maneno yako yasiyo na tija... Nimesema kwa nini kila siku ni ubishi wa kidini tu?
Ina maana hujui kwamba kabla ya ujio wa Muhammad kutangaza uislamu waarabu walikuwa na imani zao zengine?Zitaje hizo asili na imani za waarabu ni zipi???.
Sasa ndio uzitaje! Mbona una zunguka zunguka..stop meandering...go directly to the point.Ina maana hujui kwamba kabla ya ujio wa Muhammad kutangaza uislamu waarabu walikuwa na imani zao zengine?
Kila siku mnajibiwa hilo suala ila bado mnarudia tena hivyo hivyo.Koran ilikusanywa na watu na maelefu yakachimwa moto wakakubaliana killpi waweke kipi wachome
Hampangui hoja za post number Moja,mnarukaruka na kupotezeaKila siku mnajibiwa hilo suala ila bado mnarudia tena hivyo hivyo.
Hebu toa mifano hata kumi tu.Uislamu ni mila na desturi za Waarabu wengine fuata mkumbo tu.