Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ndio mada tunajadili hapa
Muhammad alikuta vitabu vya biblia yeye aka copy na ku edit kwa Nini alifanya hivyo , na Kwa Nini kaiba story za wayahudi

Alicopy biblia ipi ???

Weka aya moja tu kutoka biblia iliyokopiwa ,

Angalia usituwekee aya inayosema mungu alichoka akastarehe weekend kama vile ali enjoy nyama choma na safari lager
 
Mtu aniambie Allah alikuwa anakaaje kisura??Na uislamu ulitoka wapi??Kama ambavyo Quran inasema!!😳

Umeanza kuwa kipofu wa kutokuweza kusoma unachojibiwa ???

Islam means peace , ni Amani. ilianza lini ni tokea kuumbwa ulimwengu. Amani ililetwa na Mungu mwenyewe.

SIFA ZA MUNGU

(a) Kutoka 33:17-20- Mungu haonekani:

“Bwana akamwambia Mussa nitafanya na neno hili ulilolinena kwa maana umepata neema mbele zangu nami na kujua jina lako, akasema nakusihi unioneshe utukufu wako . Akasema nitapitisha wema wangu wote mbele yako nami nitamfadhili yeye nitakayemfadhili ,nitamrehemu yeye nitakayemrehemu . Kisha akasema , Huwezi kuniona uso wangu , maana mwanadamu hataniona akaishi .

(b) Timotheo (1) 6:16 – Mungu haonekani wala hafi :

“Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribia , Wala hakuna mwanadamu aliyemuona , Heshima na uwezo una yeye hata milele Amina.

(c) Yohana 5:37- Sauti ya Mungu haijasikika:

Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote ,wala sura yake hamkuiona .
(d) Yakobo 1:17- Mungu habadiliki:

“Kila kutoa kuliko kwema na kila kitolewacho kilicho kamili hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika wala kivuli cha kugeuka geuka”

YESU ALIVYOPACHIKWA UUNGU

(a) Warumi 9:5
“Ambao mababu ni wao ,katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili . Ndiye aliye juu ya mambo yote . Mungu mwenye kuhimidiwa milele Amina.”

(b) Timotheo 3:16
“Na bila shaka siri ya utawa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili , akajulikana kuwa na haki katika roho , Akaonekana na malaika akahubiriwa katika mataifa akaaminiwa katika ulimwengu , Akachukuliwa juu katika utukufu”

(c) Tito 2:13
Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu.
YESU ALIVYOUKANA UUNGU

(a) Luka 18:18
“Tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza akasema , mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja , naye ndiye Mungu”

(b) Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”

(c) Yohana 14:28
“Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia naenda zangu tena naja kwenu kama mngalinipenda mngalifurahi kwasababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni Mkuu kuliko mimi”

UDHAIFU WA YESU KATIKA UUNGU

(a) Matayo 8:22-24 – Yesu alilala usingizi:

“Lakini Yesu akaniambia nifuate wache wafu wazike wafu wao akapanda chomboni ,wanafunzi wake wakamfuata kukawa msuko suko mkuu baharini , hata chombo kikafunikizwa na mawimbi naye alikuwa amelala usingizi “

Rejea Zaburi 121:1-4 Mungu halali

(b) Yesu alikuwa akionekana Rejea Kutoka 33:17 …….Timotheo

(1) 6:16 Mungu haonekani .

(c) Matayo 27:46 Wakristo wanaamini kuwa Yesu anamlilia Mungu

“Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?
(d) Matayo 20:20-23

“Ufalme wako , Yesu akajibu akasema , Hamjui mnaloliomba Je mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi?
Wakamwambia twaweza. Akawaambia mtakinywea kikombe changu, laikini kuketi mkono wangu wa kuume na mkono wangu wa kushoto sina amri kuwapa , bali watapewa waliowekewa tayari na Baba yangu.

In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
 
Ila nyie wafuga majini hamna maarifa ya kiroho kabisa nimesoma huu ujinga wako hapa ndy nimechoka
 
Wakorintho 1:25 NEN

Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, nao udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.

Ivi nyie wakristo nani alowaroga
Yni bible yenu inamtukana uyo mungu wenu bila ya chenga

Dah aibu naona mimi huku
Mngerudi Kwenye mada , Mpaka tupo page ya 88 hakuna muislamu amepangua hoja ,ni kurukaruka tu
 
Bado hujanielewa, nimekwambia Qur'an inasimama yenyewe tofauti na hicho kitabu kinachoitwa biblia ambacho watu walikaa na kukusanya maandiko tofauti tofauti hadi mengine wakayaacha na wakakusanya makorokoro mengine na kuweka humo.
Qur'an haina shida na Torat,Zabur wala Injili inavitambua na imevitaja.

Kwahiyo unapotaja hiyo biblia ni vyema kukumbuka hayo.

Quran haiwezi simana yenyewe wakati ndani yake imeweka bayana kuwa kama kutakuwa na maswali Kwa waumini wa Quran basi wawafuate Wakristo wakawasaidie.
Bila Shaka unajua kitabu cha Wakristo ni kitabu gani
 
Ila nyie wafuga majini hamna maarifa ya kiroho kabisa nimesoma huu ujinga wako hapa ndy nimechoka

Quran haiwezi simana yenyewe wakati ndani yake imeweka bayana kuwa kama kutakuwa na maswali Kwa waumini wa Quran basi wawafuate Wakristo wakawasaidie.
Bila Shaka unajua kitabu cha Wakristo ni kitabu gani

Hicho ulichokiandika ndiyo maarifa yako ya kiroho yaliyompa Yesu uungu ???
 
Umeanza kuwa kipofu wa kutokuweza kusoma unachojibiwa ???

Islam means peace , ni Amani. ilianza lini ni tokea kuumbwa ulimwengu. Amani ililetwa na Mungu mwenyewe.

SIFA ZA MUNGU

(a) Kutoka 33:17-20- Mungu haonekani:

“Bwana akamwambia Mussa nitafanya na neno hili ulilolinena kwa maana umepata neema mbele zangu nami na kujua jina lako, akasema nakusihi unioneshe utukufu wako . Akasema nitapitisha wema wangu wote mbele yako nami nitamfadhili yeye nitakayemfadhili ,nitamrehemu yeye nitakayemrehemu . Kisha akasema , Huwezi kuniona uso wangu , maana mwanadamu hataniona akaishi .

(b) Timotheo (1) 6:16 – Mungu haonekani wala hafi :

“Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribia , Wala hakuna mwanadamu aliyemuona , Heshima na uwezo una yeye hata milele Amina.

(c) Yohana 5:37- Sauti ya Mungu haijasikika:

Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote ,wala sura yake hamkuiona .
(d) Yakobo 1:17- Mungu habadiliki:

“Kila kutoa kuliko kwema na kila kitolewacho kilicho kamili hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika wala kivuli cha kugeuka geuka”

YESU ALIVYOPACHIKWA UUNGU

(a) Warumi 9:5
“Ambao mababu ni wao ,katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili . Ndiye aliye juu ya mambo yote . Mungu mwenye kuhimidiwa milele Amina.”

(b) Timotheo 3:16
“Na bila shaka siri ya utawa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili , akajulikana kuwa na haki katika roho , Akaonekana na malaika akahubiriwa katika mataifa akaaminiwa katika ulimwengu , Akachukuliwa juu katika utukufu”

(c) Tito 2:13
Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu.
YESU ALIVYOUKANA UUNGU

(a) Luka 18:18
“Tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza akasema , mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja , naye ndiye Mungu”

(b) Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”

(c) Yohana 14:28
“Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia naenda zangu tena naja kwenu kama mngalinipenda mngalifurahi kwasababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni Mkuu kuliko mimi”

UDHAIFU WA YESU KATIKA UUNGU

(a) Matayo 8:22-24 – Yesu alilala usingizi:

“Lakini Yesu akaniambia nifuate wache wafu wazike wafu wao akapanda chomboni ,wanafunzi wake wakamfuata kukawa msuko suko mkuu baharini , hata chombo kikafunikizwa na mawimbi naye alikuwa amelala usingizi “

Rejea Zaburi 121:1-4 Mungu halali

(b) Yesu alikuwa akionekana Rejea Kutoka 33:17 …….Timotheo

(1) 6:16 Mungu haonekani .

(c) Matayo 27:46 Wakristo wanaamini kuwa Yesu anamlilia Mungu

“Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?
(d) Matayo 20:20-23

“Ufalme wako , Yesu akajibu akasema , Hamjui mnaloliomba Je mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi?
Wakamwambia twaweza. Akawaambia mtakinywea kikombe changu, laikini kuketi mkono wangu wa kuume na mkono wangu wa kushoto sina amri kuwapa , bali watapewa waliowekewa tayari na Baba yangu.

In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
wacha niende straight to the point👌
Nimeuliza Allah anakaaje kisura Kama jinsi Muhammad kaandika kwenye Quran????
 
Quran haiwezi simana yenyewe wakati ndani yake imeweka bayana kuwa kama kutakuwa na maswali Kwa waumini wa Quran basi wawafuate Wakristo wakawasaidie.
Bila Shaka unajua kitabu cha Wakristo ni kitabu gani

Matoleo ya Biblia ya Kingereza Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:

"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa 1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611…

Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa. Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza…
Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.

Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.

Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870.

Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885;

na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901."

Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada. Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.

Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa;

Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus."

"… Toleo la American Standard Version lilipewa haki miliki ya kuzuia matini yake isibadilishwe bila idhini.

Mnamo 1928 haki hiyo ilipatikana kutoka katika Baraza la Kimataifa la Elimu na Dini, na kwa hiyo likawekwa katika umiliki wa makanisa ya Marekani na Canada yaliyoshiriki katika baraza hilo kwa kupitia bodi zao za elimu na uchapaji.

Baraza hilo liliainisha kamati ya wasomi kusimamia matini ya ya Toleo la American Standard Version na kufanya uchunguzi na kujua kama marekebisho zaidi yanahitajika…

[Baada ya miaka miwili] uamuzi ulifikiwa; nao ni kuwa; kunahitaji marekebisho kikamilifu katika toleo la 1901, ambalo litabakia kuwa lipo karibu na mapokeo ya Tyndale-King James kama itakavyokuwa…

Mnamo 1937 na marekebisho yalipewa idhini kwa kura ya Baraza hilo." "Wasomi thelathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo…

Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946.

Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana .

Ushahidi

The Holy Bible: Rivised Standard Version, p. iii-iv.

Ibid, p. iv. 16Ibid, p. vi.

The Holy Bible: Rivised Standard Version, p. 96. 18

The Holy Bible: (King James Version)
 
wacha niende straight to the point👌
Nimeuliza Allah anakaaje kisura Kama jinsi Muhammad kaandika kwenye Quran????
Usikimbie , kwanza hapa umeelewa ??

Islam means peace , ni Amani. ilianza lini ni tokea kuumbwa ulimwengu. Amani ililetwa na Mungu mwenyewe.

SIFA ZA MUNGU

(a) Kutoka 33:17-20- Mungu haonekani:
“Bwana akamwambia Mussa nitafanya na neno hili ulilolinena kwa maana umepata neema mbele zangu nami na kujua jina lako, akasema nakusihi unioneshe utukufu wako . Akasema nitapitisha wema wangu wote mbele yako nami nitamfadhili yeye nitakayemfadhili ,nitamrehemu yeye nitakayemrehemu . Kisha akasema , Huwezi kuniona uso wangu , maana mwanadamu hataniona akaishi .
(b) Timotheo (1) 6:16 – Mungu haonekani wala hafi :
“Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribia , Wala hakuna mwanadamu aliyemuona , Heshima na uwezo una yeye hata milele Amina.
(c) Yohana 5:37- Sauti ya Mungu haijasikika:
Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote ,wala sura yake hamkuiona .
(d) Yakobo 1:17- Mungu habadiliki:
“Kila kutoa kuliko kwema na kila kitolewacho kilicho kamili hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga, kwake hakuna kubadilika wala kivuli cha kugeuka geuka”

YESU ALIVYOPACHIKWA UUNGU

(a) Warumi 9:5
“Ambao mababu ni wao ,katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili . Ndiye aliye juu ya mambo yote . Mungu mwenye kuhimidiwa milele Amina.”
(b) Timotheo 3:16
“Na bila shaka siri ya utawa ni kuu, Mungu alidhihirishwa katika mwili , akajulikana kuwa na haki katika roho , Akaonekana na malaika akahubiriwa katika mataifa akaaminiwa katika ulimwengu , Akachukuliwa juu katika utukufu”
(c) Tito 2:13
Tukilitazamia tumaini lenye Baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na mwokozi wetu.
YESU ALIVYOUKANA UUNGU
(a) Luka 18:18
“Tena mtu mkubwa mmoja alimuuliza akasema , mwalimu mwema nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele? Yesu akamwambia mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja , naye ndiye Mungu”
(b) Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”
(c) Yohana 14:28
“Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia naenda zangu tena naja kwenu kama mngalinipenda mngalifurahi kwasababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni Mkuu kuliko mimi”

UDHAIFU WA YESU KATIKA UUNGU

(a) Matayo 8:22-24 – Yesu alilala usingizi:
“Lakini Yesu akaniambia nifuate wache wafu wazike wafu wao akapanda chomboni ,wanafunzi wake wakamfuata kukawa msuko suko mkuu baharini , hata chombo kikafunikizwa na mawimbi naye alikuwa amelala usingizi “
Rejea Zaburi 121:1-4 Mungu halali
(b) Yesu alikuwa akionekana Rejea Kutoka 33:17 …….Timotheo
(1) 6:16 Mungu haonekani .
(c) Matayo 27:46 Wakristo wanaamini kuwa Yesu anamlilia Mungu
“Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?
(d) Matayo 20:20-23
“Ufalme wako , Yesu akajibu akasema , Hamjui mnaloliomba Je mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi?
Wakamwambia twaweza. Akawaambia mtakinywea kikombe changu, laikini kuketi mkono wangu wa kuume na mkono wangu wa kushoto sina amri kuwapa , bali watapewa waliowekewa tayari na Baba yangu.
 
Soma post number Moja , pangua hoja moja baada ya nyingine , mnarukaruka tu hamjibu
Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Na kama saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema Eloi , Eloi lama sabakthani? Yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha”?

Nikiwaambia hmna hoja ujue tunaongea kwa facts sasa nyie huyo Mungu wenu anaomba msaada yni inshort sijui nisemaje ila wazungu wamewapiga na kitu kizito sana ety yesu ni mungu
 
Unakwepa swali kijinga Sana 😂😂
Soma post number Moja , pangua hoja moja baada ya nyingine , mnarukaruka tu hamjibu
 
Nimesema sayansi haina mabishano? Au unaongeza maneno yako yasiyo na tija... Nimesema kwa nini kila siku ni ubishi wa kidini tu?
Kuna uhuru huo ndio maana unaona watu hujadili au kubishana sana masuala ya dini kuliko sayansi.
 
Ina maana hujui kwamba kabla ya ujio wa Muhammad kutangaza uislamu waarabu walikuwa na imani zao zengine?
Sasa ndio uzitaje! Mbona una zunguka zunguka..stop meandering...go directly to the point.

Hizo imani ni zipi????
 
Back
Top Bottom