Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Allah kutaja vitabu ambavyo sio vyake bila kumtaja mwenye hivyo vitabu yaani Yehova huoni kama huo ni wizi/plagiarism?
Ni Sawa na hamornize atoe Remix ya wimbo wa Diamond bila kumhusisha Diamond huo ni wizi.

Alafu hoja inayozungumziwa ni kuwa Quran haiwezi kutumika Kama rejea kuu kwani licha ya kufanya Plagiarism na forgery lakini pia haijitoshelezi kutoa taarifa sahihi na zilizojitosheleza.

Mfano ninaweza kukuuliza,
Yakobo alifia wapi, akiwa na umri upi, na wake zake walikuwa wangapi na kina nani, utajibuje na kupata majibu wapi bila kutumia Biblia?

Embu jibu hiyo hoja mbele ya mahakama
Yehova ni katika majina mengi ya Mungu ambayo amejitambulisha nayo, kabla ya Musa hakuwahi kujitambulisha kwa jina Yehova. Sasa wewe kukataa kuwa hivyo vitabu si vya Allah na kuamini ni vya Yehova tu hilo tatizo la kukosa uelewa tu.

Chengine ambacho nitaendelea kukumbusha ni kwamba Biblia imekusanya maandiko kutoka kwenye vitabu tofauti tofauti na kuweka sehemu moja ila Qur'an si kitabu kichokusanya maandiko ya vitabu vyengine pamoja na ndipo ikaitwa Qur'an bali inajieleza kuwa ni kitabu cha mwisho katika mfululizo wa vitabu vya Mungu na ndio maana imevitaja vitabu vyengine vya Zaburi,Torati na Injli.
 
Mkuu nilitegemea utakuja na Nukuu ya kile ulichokisema,

Biblia ni kitabu chenye vitabu nilishakutajia
1. Torati
2. Zaburi
3. Injili
4. Vyuo vya manabii
5. Vitabu vya unabii.

Hiyo ndio Biblia.
Quran imeiba sehemu ya maandiko ya vitabu vya Torati, injili na zaburi na kufanya Forgery.

Kitendo cha wafuasi na mawakili WA Quran kukataa kuwa Quran haijaiba Baadhi ya Aya ndio kinafanya hoja hii kuwa mahakamani kwani Hilo Jambo lipo wazi Kwa mtu yeyote mwenye Uelewa.
Hata asiyefuata dini za wanaotumia vitabu hivyo viwili
 
Nitajie majina mengine ambayo Mungu amejitambulisha kwayo kupitia Biblia.

Nipe andiko Mungu anasema jina langu ni Fulani.
Alafu nikutofautishie Nickname na jina halisi.

Hata Yesu alikuwa akijiita Simba wa Yuda, mwana WA Adamu, jiwe kuu la pembeni la msingi, mwana wa Mtu, n.k.

Hata Mimi najiita Taikon wa Fasihi, lakini hiyo haibadilishi jina langu la Msingi.

Sasa turejee kwenye hoja, nitajie Aya ya kwenye Biblia ambayo Mungu anasema jina langu ni .............
Kwanza tuanze na hilo andiko ambalo Mungu anajitambulisha kwa jina Yehova.

"Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni Yehova, mami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka na Yakobo kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu Yehova sikujulikana kwao". (Kutoka 6:2-3)

Kwa mujibu wa hilo andiko ni kwamba hilo jina Yehova halikuwa likijulikana huko nyuma kabla ya Musa, je hapo tunaenda sawa?
 
Ndio ni Kama hivi leo mnaosema mungu Mungu mungu alafu hamjui kuwa mungu na anajina.

Aya hiyo inaeleza kuwa mungu hakuwahi kutambulisha jina lake hapo awali. Na hiyo ilikuwa mara yake ya Kwanza kujitambulisha Kwa Musa.

Kumbuka Musa alimuuliza swali kuwa nikifika huko niwaambie nimetumwa na mungu, jina lake huyo mungu anaitwa Nani? Kwa maana miungu wapo wengi.
Swali hilo linaulizwa na mtu mwenye akili Kwa huko misri wamiungu Yao, na hapo midiani ambapo mungu amemtokea Musa wanamiungu Yao.
Sasa mungu yupi?
Ndio anamuambia jina langu ni Yehova(Niko ambaye Niko)

Hajatajwa Allah hapo, hajatajwa Hazibul hapo, hajatajwa Omen hapo, hajatajwa Budha hapo, hajatajwa Baali hapo, hajatajwa Endori hapo.
Hiyo yote ni miungu lakini haikutajwa
 
Mkuu nilitegemea utakuja na Nukuu ya kile ulichokisema,

Biblia ni kitabu chenye vitabu nilishakutajia
1. Torati
2. Zaburi
3. Injili
4. Vyuo vya manabii
5. Vitabu vya unabii.

Hiyo ndio Biblia.
Quran imeiba sehemu ya maandiko ya vitabu vya Torati, injili na zaburi na kufanya Forgery.

Kitendo cha wafuasi na mawakili WA Quran kukataa kuwa Quran haijaiba Baadhi ya Aya ndio kinafanya hoja hii kuwa mahakamani kwani Hilo Jambo lipo wazi Kwa mtu yeyote mwenye Uelewa.
Hata asiyefuata dini za wanaotumia vitabu hivyo viwili
Tatizo hapo ni wewe unajichanganya, mara utake kushindanisha kati ya Qur'an na mkusanyiko wa vitabu(biblia) kuwa kitabu kipi kina maelezo ya kina ya kihistoria mara tena hapo hapo useme Qur'an imeiba baadhi ya maandiko ya Torat Zabur na Injili.

Mimi nimeeleza kwamba Qur'an ni kitabu cha mwisho katika mfulilizo wa vitabu vya Mungu ambavyo ni Torat Zaburi na Injili, kwahiyo Qur'an kuelezea sehemu ya mambo ambayo yapo pia kwenye hivyo vitabu si tatizo, na ndio maana hata Qur'an yenyewe imevitaja hivyo vitabu.

Sasa ajabu wewe unakuja na madai ya kwamba Qur'an imeiba maandiko kutoka kwenye hivyo vitabu.
 
Ungesema hoja zangu vizuri ungenielewa vyema
Lakini naona umechagua kutokunielewa.
Unapotamka Torati, zaburi na injili unamzungumzia Yehova/Yahwe Mungu WA Wayahudi.

Sasa ukisema Quran ni kitabu cha mwisho cha Mungu( utaulizwa mungu yupi?)
Kama ni Allah Hana vitabu viitwavyo Torati, injili na zaburi .

Na Kama ni Mungu Yehova Hana kitabu kiitwacho Quran.

Elewa kuwa hao ni miungu tofauti.
Ndio maana kwenye moja ya hoja zangu Kule juu nimeelezea kuwa Allah kaiba vitabu na manabii wa Yehova.
Sasa wapi hauelewi.

Wenzako wanaoijua dini vizuri hasa hizo dini za Abrahamu wanafahamu hoja hizo ni ukweli Kabisa. Kwamba Muhammad kafanya plagiarism
 
Yesu Kristo aliye zaliwa katika Kijiji cha Nazaleti huko Israeli yuko hai hadi hii leo.
Toka Aje duniani sasa hivi ni miaka 2022 imepita.
Yaani kwa sasa ana miaka 2022.
Na atarudi duniani miaka mingi ijayo, inaweza kuwa hata miaka trillioni mia ijayo au zaidi.

Wewe mchukulie Yesu kama unavyo mjua.
Wala usipate tabu kumdadisi, mwenyewe atakuja kusema yeye ni nani.

Kwahiho wewe mjue tu kama unavyo mjua

Too strange to be a coincidence!

According to the Biblical account, Pilate offered the Jews the release of just one prisoner and the cursed race chose Barabbas rather than gentle Jesus.

But hold on a minute: in the original text studied by Origen (and in some recent ones) the chosen criminal was Jesus Barabbas – and Bar Abba in Aramaic means ‘Son of the Father’!

Are we to believe that Pilate had a Jesus, Son of God and a Jesus, Son of the Father in his prison at the same time??!!

Perhaps the truth is that a single executed criminal helped flesh out the whole fantastic fable.

Gospel writers, in scrambling details, used the Aramaic Barabbas knowing that few Latin or Greek speakers would know its meaning.
 
Allah kutaja vitabu ambavyo sio vyake bila kumtaja mwenye hivyo vitabu yaani Yehova huoni kama huo ni wizi/plagiarism?
Ni Sawa na hamornize atoe Remix ya wimbo wa Diamond bila kumhusisha Diamond huo ni wizi.

Alafu hoja inayozungumziwa ni kuwa Quran haiwezi kutumika Kama rejea kuu kwani licha ya kufanya Plagiarism na forgery lakini pia haijitoshelezi kutoa taarifa sahihi na zilizojitosheleza.

Mfano ninaweza kukuuliza,
Yakobo alifia wapi, akiwa na umri upi, na wake zake walikuwa wangapi na kina nani, utajibuje na kupata majibu wapi bila kutumia Biblia?

Embu jibu hiyo hoja mbele ya mahakama

Maandiko ya Biblia, maagano yote mawili; Jipya na la Kale, ni chanzo kisichotegemewa, na kwa hiyo, hakiwezi kutumiwa kama njia ya uhakika wa kuujua ukweli kuhusu mtu aliyeitwa Yesu Kristo au kuhusu kazi na ujumbe wake.

Hata hivyo, ukaguzi wa makini wa maandiko haya katika mwangaza wa aya za Quran utafunua baadhi ya ukweli unaomuhusu Yesu aliyeishi katika Biblia.

Mtume

Kwa kupitia Quran, kimsingi Yesu ametambulishwa kuwa ni Mtume wa Mungu.

Katika Sura As-Saff 61:6, Mungu anamnukulu Yesu kama ifuatavyo: "وَإِذْ قَالَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُم مُّصَدِّقًا لِّمَا بَ�يْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ ..."

"Na Isa bin Mariamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati…"
As-Saff 61:6

Kuna aya nyingi katika Agano Jipya zinazounga mkono utume/unabii wa Yesu.

Zifuatazo ni aya chache tu miongoni mwa aya hizo:

katika Mathayo 21:11, watu wa zama za Yesu wamerekodiwa wakimchukulia Yesu kuwa ni mtume:

“Makutano wakasema, Huyu ni yule nabii, Yesu, wa Nazareti ya Galilaya.”

Katika Marko, 6:4, imeelezwa kuwa Yesu amejitaja yeye mwenyewe kuwa ni mtume:

“Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, ispokuwa katika nchi yake mwenyewe, na kwa jamaa zake, na nyumbani kwake.”

Katika aya zifuatazo, Yesu anachukuliwa kuwa ametumwa akiwa ni mjumbe.

Katika Mathayo 10:40, imedaiwa Yesu amesema kuwa:

“Awapokee ninyi, anipokee mimi, naye anipokeaye mimi, ampokea aliyenituma

.” Katika Yohana 17:3, pia, Yesu alinukuliwa akisema:

“Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
 
Ungesema hoja zangu vizuri ungenielewa vyema
Lakini naona umechagua kutokunielewa.
Unapotamka Torati, zaburi na injili unamzungumzia Yehova/Yahwe Mungu WA Wayahudi.

Sasa ukisema Quran ni kitabu cha mwisho cha Mungu( utaulizwa mungu yupi?)
Kama ni Allah Hana vitabu viitwavyo Torati, injili na zaburi .

Na Kama ni Mungu Yehova Hana kitabu kiitwacho Quran.

Elewa kuwa hao ni miungu tofauti.
Ndio maana kwenye moja ya hoja zangu Kule juu nimeelezea kuwa Allah kaiba vitabu na manabii wa Yehova.
Sasa wapi hauelewi.

Wenzako wanaoijua dini vizuri hasa hizo dini za Abrahamu wanafahamu hoja hizo ni ukweli Kabisa. Kwamba Muhammad kafanya plagiarism

Uchambuzi wa fasihi za kisasa, kwa mujibu wa Profesa Richard Friedman, unaashiria kuwa vile vitabu vitano vya Musa ni mchanganyiko wa Kiebrania wa kuanzia karne ya tisa, nane, saba na sita B.C. (Kabla ya kuzaliwa Kristo).

Kwa hiyo, Musa aliyeishi karne ya kumi na tatu B.C., alikuwa yu mbali mno na Kiebrania cha Biblia hata kuliko alivyokuwa mbali Shakespeare na Kingereza cha leo.
 
Mkuu nilitegemea utakuja na Nukuu ya kile ulichokisema,

Biblia ni kitabu chenye vitabu nilishakutajia
1. Torati
2. Zaburi
3. Injili
4. Vyuo vya manabii
5. Vitabu vya unabii.

Hiyo ndio Biblia.
Quran imeiba sehemu ya maandiko ya vitabu vya Torati, injili na zaburi na kufanya Forgery.

Kitendo cha wafuasi na mawakili WA Quran kukataa kuwa Quran haijaiba Baadhi ya Aya ndio kinafanya hoja hii kuwa mahakamani kwani Hilo Jambo lipo wazi Kwa mtu yeyote mwenye Uelewa.
Hata asiyefuata dini za wanaotumia vitabu hivyo viwili
hujaleta aya hata moja iliyokopiwa kutoka biblia , zaidi ya kuleta aya inayosema mungu alichoka na kustarehe weekend . labda alikula nyama choma na kunywa safari
 
Invisible Friend

'Jesus of Nazareth' supposedly lived in what is the most well-documented period of antiquity – the first century of the Christian era – yet not a single non-Christian source mentions the miracle worker from the sky.

All references – including the notorious insertions in Josephus – stem from partisan Christian sources (and Josephus himself, much argued over, was not even born until after the supposed crucifixion). The horrendous truth is that the Christian Jesus was manufactured from plundered sources, re-purposed for the needs of the early Church.

It is not with a human being that the Jesus myth begins. Christ is not a deified man but a humanised god who happened to be given the name Yeshu.

Those real Jesuses, those that lived and died within normal human parameters, may have left stories and legends behind, later cannibalised by Christian scribes as source material for their own hero, but it is not with any flesh and blood rebel/rabbi/wonder-worker that the story begins. Rather, its genesis is in theology itself.
Kwani wewe habari za Yesu Kristo unazisoma wapi ?

Au nikuulize maswali matatu tu.

1.Ukipata kazi ya kutafiti maisha ya Yesu Kristo Sample yako utatumia ya watu wepi ?

2. Mahali utakapo fanyia hiyo tafiti yako ni wapi ?

3. Ushawahi kufanya utafiti wa Kitaaluma ?
 
Kwani wewe habari za Yesu Kristo unazisoma wapi ?

Au nikuulize maswali mawili tu.

1.Ukipata kazi ya kutafiti maisha ya Yesu Kristo Sample yako utatumia ya watu wepi ?

2. Mahali utakapo fanyia hiyo tafiti yako ni wapi ?

Hawa hapa ni hao waliwaandikia hiyo Biblia na haya ndiyo maneno yao

Ndio ni Kama hivi leo mnaosema mungu Mungu mungu alafu hamjui kuwa mungu na anajina.

Aya hiyo inaeleza kuwa mungu hakuwahi kutambulisha jina lake hapo awali. Na hiyo ilikuwa mara yake ya Kwanza kujitambulisha Kwa Musa.

Kumbuka Musa alimuuliza swali kuwa nikifika huko niwaambie nimetumwa na mungu, jina lake huyo mungu anaitwa Nani? Kwa maana miungu wapo wengi.
Swali hilo linaulizwa na mtu mwenye akili Kwa huko misri wamiungu Yao, na hapo midiani ambapo mungu amemtokea Musa wanamiungu Yao.
Sasa mungu yupi?
Ndio anamuambia jina langu ni Yehova(Niko ambaye Niko)

Hajatajwa Allah hapo, hajatajwa Hazibul hapo, hajatajwa Omen hapo, hajatajwa Budha hapo, hajatajwa Baali hapo, hajatajwa Endori hapo.
Hiyo yote ni miungu lakini haikutajwa
Kila jina lina maana yake na ndio maana hata hilo Yehova au Jehova lina maana yake pia, hivyo Mungu ana majina mengi na yana maana yake.

"Abrahamu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu". (Mwanzo 17:1)

Na ndio maana alisema alijitambulisha kwa Ibrahimu,Isaka na Yakobo kama Mungu mwenyezi na si Yehova/Jehova, maana yake Mungu ana majina mengi na amekuwa akijitambulisha kwa majina tofauti tofauti ila ajabu wewe unakataa kuwa hayo sio majina yake.

Baadhi ya majina yake:
ELOHIM
ADONAI
EL ROI
EL-OLAM
 
Hawa hapa ni hao waliwaandikia hiyo Biblia na haya ndiyo maneno yao

Unaulizwa maswali unatakiwa kujibu.
Mimi nikipewa kazi ya kutafiti maisha ya Muhamadi nitawatumia Waarabu wa Maka na Madina kama Sample yangu.

Na nitatumia Miji ya Maka na Madina kama sehemu ya kufanyia huo Utafiti kwakuwa ndiko aliko zaliwa na kukulia Muhamadi.

Wewe wasikilize tu hao unaotaka kuwasikiliza maana akili zenu zinafanana.
 
Ungesema hoja zangu vizuri ungenielewa vyema
Lakini naona umechagua kutokunielewa.
Unapotamka Torati, zaburi na injili unamzungumzia Yehova/Yahwe Mungu WA Wayahudi.

Sasa ukisema Quran ni kitabu cha mwisho cha Mungu( utaulizwa mungu yupi?)
Kama ni Allah Hana vitabu viitwavyo Torati, injili na zaburi .

Na Kama ni Mungu Yehova Hana kitabu kiitwacho Quran.

Elewa kuwa hao ni miungu tofauti.
Ndio maana kwenye moja ya hoja zangu Kule juu nimeelezea kuwa Allah kaiba vitabu na manabii wa Yehova.
Sasa wapi hauelewi.

Wenzako wanaoijua dini vizuri hasa hizo dini za Abrahamu wanafahamu hoja hizo ni ukweli Kabisa. Kwamba Muhammad kafanya plagiarism
Unapinga nachoeleza bila hoja za msingi na kulazimisha unachoeleza wewe ndio kiwe sahihi. Mimi nimejenga hoja kwamba hata kwenye biblia Mungu amekuwa akitumia majina tofauti tofauti na hilo jina Yehova limekuja wakati wa Musa ila wewe unakataa kwamba hana majina mengine na kwamba jina lake ni Yehova tu.
Sasa najiuliza kabla ya Musa hakukuwa na Mungu au kwamba hakujulikana ni Mungu yupi hadi wakati wa Musa?

Ukisema Yehova hana kitabu cha Qur'an hapo umetumia hoja gani kupinga ndio hiyo tofauti ya jina Yehova na Allah? Kama hivyo je tuseme Mungu wa Ibrahimu hakuwa Yehova pia au kipi kibachokufanya ukubali kuwa Mungu wa Ibrahimu ndio huyo Yehova?
 
Unaulizwa maswali unatakiwa kujibu.
Mimi nikipewa kazi ya kutafiti maisha ya Muhamadi nitawatumia Waarabu wa Maka na Madina kama Sample yangu.

Na nitatumia Miji ya Maka na Madina kama sehemu ya kufanyia huo Utafiti kwakuwa ndiko aliko zaliwa na kukulia Muhamadi.

Wewe wasikilize tu hao unaotaka kuwasikiliza maana akili zenu zinafanana.

hayo unayonitaka nifanye yameshafanywa na hawa Maprofessor waKristo wenzako na wamefika huko kunakosemwa aliishi huyo Yesu wako , wasikilize

Unapinga nachoeleza bila hoja za msingi na kulazimisha unachoeleza wewe ndio kiwe sahihi. Mimi nimejenga hoja kwamba hata kwenye biblia Mungu amekuwa akitumia majina tofauti tofauti na hilo jina Yehova limekuja wakati wa Musa ila wewe unakataa kwamba hana majina mengine na kwamba jina lake ni Yehova tu.
Sasa najiuliza kabla ya Musa hakukuwa na Mungu au kwamba hakujulikana ni Mungu yupi hadi wakati wa Musa?

Ukisema Yehova hana kitabu cha Qur'an hapo umetumia hoja gani kupinga ndio hiyo tofauti ya jina Yehova na Allah? Kama hivyo je tuseme Mungu wa Ibrahimu hakuwa Yehova pia au kipi kibachokufanya ukubali kuwa Mungu wa Ibrahimu ndio huyo Yehova?
Allah sio jina Bali maana yake Ni Mungu

YHWH ndio jina
 
Ok haya mjibu hivyo huyo mwenzio halafu tuone.
NAOMBA JINA LA ALLAH (الله) KWA KIARABU ANAITWA NANI?

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

[emoji116]

KAMA BADO UNAPINGA KUWA ALLAH KWA KINGEREZA SI GOD TWAMBIE HAPA KUNA ALLAH(الله) KWENYE KIARABU NA KUNA GOD(الله) KWENYE KINGEREZA NA KUNA MUNGU (الله) KWENYE KISWAHILI

[emoji116]

BIBLIA YA KIARABU KITABU CHA MWANZO

Mwanzo 1:1-3

1 في البدء خلق [emoji118]الله[emoji117] السموات والارض.

2 وكانت الارض خربة وخالية وعلى وجه الغمر ظلمة وروح [emoji118]الله[emoji117] يرف على وجه المياه.

3 وقال[emoji118] الله[emoji117] ليكن نور فكان نور.

الله [emoji117]Hilo neno ni ALLAH ambalo kwa kingereza linatamukwa God

[emoji810]
BIBLIA YA KINGEREZA KITABU CHA MWANZO

TWAMBIE JE GOD NI JINA HAPA HAPA? KAMA UNADAI ALLAH( الله) NI JINAA?

[emoji818](Genesis 1 :1-3
------------
1 In the beginning [emoji117]God [emoji118]created the heaven and the earth.

2 And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of [emoji117]God [emoji118]moved upon the face of the waters.

3 And [emoji117]God [emoji118]said, Let there be light: and there was light.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

JE MUNGU NI JINA KAMA KAMA UNADAI ALLAH( الله) NI JINA ?

BIBLIA YA KISWAHILI

[emoji818](Mwanzo 1 :1-3
------------
1 Hapo mwanzo[emoji117] Mungu[emoji118] aliziumba mbingu na nchi.

2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya [emoji117]Mungu [emoji118]ikatulia juu ya uso wa maji.

3 [emoji117]Mungu[emoji118] akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji1787][emoji1787] ASSALAMU ALEIKUM
 
Allah sio jina Bali maana yake Ni Mungu

YHWH ndio jina
Umepitiwa kidogo hapa mtaalamu.

Allah ni Jina yaani Proper name
Mungu kwa kiarabu ni illah.

Angalia kwenye shahada yao.

Laa illah=Hakuna Mungu
Ilaa Allah=Isipokuwa Allah.
Muhamadi Rasul-illah=Na Muhamadi ni mtume wa Mungu.

Watu wengi wanachanganya sana kati ya Allah na illah, hata waislamu wenyewe hasa wanao kremu tu lugha ya kiarabu bila kuifahamu.

Allah ni Jina la Mungu wa Waarabu wa kabla ya kuzaliwa Muhammadi.

Niishie hapo.
 
Back
Top Bottom