Kwamba nisihitimishe kua mungu alijua yajayo kwasababu kuna uwezekano hakuweza kuyaona hayo?usikimbilie kuhitimisha kitu ambacho hujui na kuchukulia mambo kijuujuu
hapo nimeandika sentensi mbili hiyo ya pili hujaona siyo!
labda nikuulize unatumia kitabu gani hicho kinasema anajua kila kitu?
Umehama issue ya "kujua" na kuhamia suala la kutenganisha ukweli na uongo.Swqli nimekuuliza wewe, unalikacha, unanirudishia mimi?
Kutenganisha ukweli na uongo.
Ukitaka kutenganisha ukweli na uongo, mathalani kuhusu hoja ya kuwepo kwa Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kama yupo kweli au habari za kuwepo kwake ni uongo tu waliojitungia watu.
Ukitaka kutenganisha ukweli na uongo kuhusu hoja hii, utafanyaje?
Kama wewe ni msomaji mzuri kachunguze kisa cha Abrahamu na Isaka kwa makini!Kwamba nisihitimishe kua mungu alijua yajayo kwasababu kuna uwezekano hakuweza kuyaona hayo?
Sentensi ya pili imekosa nguvu kutokana na sentensi yako iliyotangulia
Biblia na kuran vyote vimemueleza mungu kwamba ni mjuzi wa yote, na upendo wote na muweza wa yote.
Kitabu gani unachotumia kinamuelezea mungu ambaye hana hizo sif
1. Nimekuuliza kujua ni nini.Umehama issue ya "kujua" na kuhamia suala la kutenganisha ukweli na uongo.
Tatizo lako huwa unahusisha kujua na uthibitisho na ndio kinachokusumbua hapa,huwa nakuambia kujua hakuhusiani na uthibitisho.
Yani wewe unayetaka mimi nithibitishe hoja yako baadavyavwewe kushindwa kuitetea ndiye wa kuniambia mimi nategemea akili za wengine?wewe ni wakusaidiwa na endelea kusubiria watu waje wakusaidie kujithibitishia
acha uvivu wa akili na kutegemea akili za wengine
Sihitaji uthibitisho wako wala sijakuomba kama unavyoomba watu wakusaidie uthibitishiwe. ...Yani wewe unayetaka mimi nithibitishe hoja yako baadavyavwewe kushindwa kuitetea ndiye wa kuniambia mimi nategemea akili za wengine?
Fucktard cretin moron!
Sihitaji uthibitisho wako wala sijakuomba kama unavyoomba watu wakusaidie uthibitishiwe. ...
pambana na hali yako....
Halafu mtu akinitukana wala sijali najua tu maadili yake yapo chini ...
Wewe hujui hata kama unaenda mbele au unarudi nyumaSihitaji uthibitisho wako wala sijakuomba kama unavyoomba watu wakusaidie uthibitishiwe. ...
pambana na hali yako....
Halafu mtu akinitukana wala sijali najua tu maadili yake yapo chini ...
hahaha pambana na hali yakoWewe hujui hata kama unaenda mbele au unarudi nyuma
Unawayawaya tu kama bendera inayofuata upepo bila muelekeo maalum.
Fucktard cretin moron.
Ukitaka nithibitishe hoja zako, hujataka nipambane na hali yangu.hahaha pambana na hali yako
Sasa hapo maana ya kujua iko wapi?kwa sababu umedai kuwa umeeleza maana ya kujua.Swali nimekuuliza wewe, unalikacha, unanirudishia mimi?
Kutenganisha ukweli na uongo.
Ukitaka kutenganisha ukweli na uongo, mathalani kuhusu hoja ya kuwepo kwa Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kama yupo kweli au habari za kuwepo kwake ni uongo tu waliojitungia watu.
Ukitaka kutenganisha ukweli na uongo kuhusu hoja hii, utafanyaje?
Tatizo ni Usomaji Bible Isivyo sawa; Ila hilo si Tatizo kabisa Mkuu hata mimi nilikuwa na Mawazo kama hayo; lakini yalikuwa yananippa Shida kuamini; Yaan Mungu Mtoa Uzima aue?? What a Insult, So nilianza kusoma Hiki Kijitabu Vyema Kabisa, nikiwa Ughaibuni wote tulianza hivyo hata sasa Bado tunaendelea Kujifunza as along as tuna uhai.shetani ndio hana rekodi ya kuua watu wengi kama hivyo wakati ndio mwenye sifa ya ubaya, labda uniambie wewe shetani alimuua nani?
Unataka kumsafisha mungu wako aonekane kwamba sio muuaji kwa kutumia references ya yesu na eliya ambao mimi sijawakusudia?Tatizo ni Usomaji Bible Isivyo sawa; Ila hilo si Tatizo kabisa Mkuu hata mimi nilikuwa na Mawazo kama hayo; lakini yalikuwa yananippa Shida kuamini; Yaan Mungu Mtoa Uzima aue?? What a Insult, So nilianza kusoma Hiki Kijitabu Vyema Kabisa, nikiwa Ughaibuni wote tulianza hivyo hata sasa Bado tunaendelea Kujifunza as along as tuna uhai.
Kwanza tu ni kwambia Ujio wa Yesu ndio ulikuja Kumdhihirisha Shetanina Operation zake, Ijapokuwa Shetani alikuwa nafanya Operation zake, lakini kiwango cha watu hakikiweza kufahamu Hivyo Attributes Nyingi za mambo ambayo walikuwa hawawezi kuyaelezea Basi wakawa wanasema ni Mungu; Kusema Mungu kaua hii haiwezi Kuingia akilini mkuu, Yaan Mungu akutengeneze wewe then akuue tu;
Comprenhensive Bible study itakusaidia; Lets start hapa kidogo
John 8:44 ( Ila nikushauri soma yote upate Context pale)
Yesu aliunlock hapa kwenye hiyo 44 na kutuambia Who was the killer toka mwanzo?
You are of your father the Devil, and the lusts of your father yo will do. He was the Murderer from the Beginning, and Abode not in Truth.
Ukisoma Luke 9:51-56 ( But Soma yote, upate flow vizuri)
Hapo Bwana Yesu alikuwa anaenda zake kwenye kijiji, akakataliwa asikatishe katika hico kijiji, Wanafunzi wakamwambia Bwana Tuwashushie Moto hawa jamaa kama Elia alivyofanya?, wanakukatazaje usipite? Alichowajibu Yesu ni kwamba, Hawajui ni Roho ya namna gani walikuwa nayo? yeye hakuja Kuangamiza bali kuokoa Roho.
Sasa watu wengi wanahisi kwamba Alichokifanya Eliya kilikuwa Sawa lakini kwa statement ya Yesu kwenye Luke, anatufunulia kwamba Eliya alifanya kwa Maamuzi yake mwenyewe;
Tatizo Usomaji wetu sio Comprenhensive Bible Reading; Tunasoma Vipande vipande.
Yako mambo mengi sana ambayo yalifanyika From Genesis 4 to Malaki ambayo watu huwa wanafanya Attribution na Mungu which is not right.
Kama Mungu anasema Habadiliki, hana Kigeu geu? at the same Time anasema Yeye anatoa Uhai/Uzima then Anaua?? Hii Inakuingia Akilini?
Refer paulo aliviringishiwa na Nyoka kwenye Mkono halafu hakudhuriwa na nyoka wale jamaa walisema huyu atakuwa ni Mungu; Maana kwa vitu vyote ambavto vilikuwa Vinastaajabisha na Kutokuelezeaka kwa urahisi, Only God ndo alioneka kwamba angeweza kufanya; This was wrong thinking about God.
Roho ni nini?
Unaweza kuthibitisha roho ipo kweli na si hadithi ya kufikirika tu?
Kipi hicho? Hutakiwi ku define kitu kwa kuongelea kisicho.Roho ni kile chote ulicho wewe ukiacha mwili wako
Kipi hicho? Hutakiwi ku define kitu kwa kuongelea kisicho.
Define kitu kwa kilicho.
Kwa definition yako, mtu anaweza kusema mawazo yako si mwili.
Je, mawazo ndiyo unachokiita roho?
Kama.m ni hivyo, nikisema roho haipo, wewe unayaita mawazo kuwa ninroho, nitakuwa nimekosea?
Kama unadai roho ni zaidi ya mawazo, define roho ni nini. Usiseme tu roho sinm mwili.
Pia, hujathibitisha roho ipo.
Sina la kukupinga katika hilo.Sio kila kitu kinaweza kuthibitishwa na Binadamu.Binadamu anayafahamu machache sana kuliko mengi asiyoyafahamu.
Wanaokufa kipindi hiki wakiwa wasafi wana ahadi ya kupewa uzima tena,kwa hiyo ukiwa ukiwa msafi sio hasaraIpo kwenye mchakato mpaka lini?
Watu wanakufa vizazi na kizazi hao waliokufa baada ya ujio wake wote wanaenda peponi?
Hawa jamaa wabishi sana na hawaiamini biblia ndio tatizowaroma 1:19 kwa sababu mambo yanayoweza kujulikana kuhusu Mungu yako wazi kabisa kati yao, kwa maana Mungu aliyaweka wazi kwao. 20 Kwa maana sifa zake zisizoonekana, zinaonekana waziwazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu na kuendelea, kwa sababu zinaeleweka kupitia vitu vilivyoumbwa, yaani, nguvu zake za milele na Uungu, hivi kwamba hawana sababu ya kujitetea.