Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Mungu hajaribiwi lazima unavokuwa na Imani unakuwa na imani ya Mungu mwenyewe yenye msingi wa Yesu kristo mawazo yako ya kutenda yatabadilika utawaza mambo mema zaidi ya tamaa zako za vitu visivyo muhimu duniani

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
kuwaambiwa msile tunda la kati ndo tayari kashawazua kwa kuwaeleza msifanye ivo sasa we ulitaka awazuie vp mkuu kwa kufanyaje labda
Huyu jmaa hajui zuio halisi la Mungu kuhusu dhambi ni kuwa whiped off kutokana na alivootuumba ila huruma yake ikafanya tufanye dhambi and again na akatuvumilia

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Nimeelewa vizuri sasa

Nitafahamu vipi huyu na huyu wameumbwa na Mungu huyu na huyu na huyu wameumbwa na Mungu huyu?

Maana Mungu ni tofauti kwa muktadha wako!.
Mungu ni mmoja na ana njia zake za kumtafuta distraction imeletwa na shetani ila kama unataka kumjua kweli utafunuliwa

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Unajuaje Mungu na Roho Mtakatifu wapo kweli na si hadithi za watu tu?

Hujajibu swali hili.

Ukweli kwamba mimi nimefundishwa na mwalimu hauthibitishi Mungu yupo.

Unathibitisha nimefundishwa na mwalimu.
Faith is the choice because all the things happening are there to see..you'v just been blinded by illusions happening like mawazo yanaisha kwa pombe badala ya Mungu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Acha uoga wewe ukimuamin Mungu wa kweli unaeza kuona ipi ni dini ya kweli..ila sio vizuri kumnyoshea mtu vidole kwasababu kama wewe ni mkristo may be unasema uko kweny dini sahihi afu unazini wakati Muislamu anafanya mema unakuwa unafeli ila kujua mfumo sahihi ni rahisi tu ukiamua kufuatilia

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sijauliza vitabu wala mechanism! Kwa muktadha wako Mungu wapo tofauti, ndio nauliza hao Mungu tofauti wanazo product zao tofauti (watu)? Nitafahamu vipi huyu mtu ni zao la Mungu wa Christianity na huyu ni zao la Mungu mwingine/wengine?
Hakuna zao aisee ila kuna choice Tu kuna wakristo wanaamua kuwa wazinzi au waislamu waasherati everthing is choice

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hata huelewi ninachozungumzia!Kila siku tunahubiriwa kuwa Mungu hashindwi chochote,sasa ilikuwaje akashindwa kuwazuia hao akina Adam kula tunda?
Adhabu ilikuwa kifo ila kwa huruma zake akasamehe kifo na kutoa time watu kumrudia ndo adhabu ya dhambi bila kupepesa macho

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi swali langu ni hao Mungu tofauti wanazo product tofauti?

Nipe hint! Ndiyo au Hapana.
Hakuna product wakati ukizaliwa unakuwa empty headed mpka utakapoanza kulearn things na kupata akili ya kuchagua mbichi na mbivu kama alivoeleza mtalaamu hapo kuna Mungu anaeua kila kiube anavotaka au Mungu anaeokoa ukimkubali na una uwezo wa kumkubali kwa hiari Mungu mlipa kisasi au Mungu mwema wakati wote asiejihusisha na dhambi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama imani ni jambo la mtu binafsi, kwa nini inajadiliwa hapa kwenye ukumbi wa wazi kwa jamii?

Mimi najadili zaidi ya imani. Najadili jinsi ya kupata ukweli.
Hapana kaka uko sahihi Imani inaeza kabisa kuwa transferred kwa mafundisho au maubili. Bible inasema mti usiozaa matunda utakatwa matawi yake Means huwez jiita una imani halafu huwahubirii wa2

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni nini?

Unaweza kuthibitisha yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za kutungwa na watu tu?

Hujajibu.
Biblia inaeka wazi watu waovu wamefichwa kuhusu ufalme wa Mungu ko ni choice yako uwe mwokovu ufunuliwe uwepo wa Mungu au ubaki Muovu mpaka motoni ndo ukashuhudia

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndo kaamua kufanya hivi.
Wewe UFE mwingine AZALIWE
Hiyo haijawahi kuwa sababu ya kifo ndugu labda kma we ndo umejifunza hivo sababu ya kifo haiwezi kuwa nyepesi hivo eti watu wangejaa kwa Mungu mwenye uwezo wa kuwaweka wote kweny chupa. Kwani ulimwengu mbona unaexist malaika na kila kitu ndani yake na haujajaaa

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kujibu kama tanzania mpaka leo hata stick hatuwezi tengeneza tungeweza kutengeneza dunia ilivo na kupangilia mzunguko wa watu..kama invention ya nuclear 2 ilioleta mabadiliko duniani imegundulika juzi 2 hapo kuumba dunia kujizungusha never

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kuna true death na true life nd Mungu anathibitisha anahisika nacho 100% hichi kifo ni predeath matokeo ya kwanza ya dhambi na engineer ni shetani. Ila kile chenyewe ni Mungu mwenyewe kupitia matendo yetu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Watu wa Mungu wanaokolewa na kila ki2 unachotaja je Magufuli kaokoa wangapi wa nchini kwake na umasikini, njaa, matetemeko njaa..Mungu elew kwamba hageneralize ndo maan anasema watu wangu ni wale tu wanaozishika amri zangu na mafundisho yangu Kama umepitiwa na kimbunga au njaa umasikini na unasali kwa kufunga unafuata amri zake na sheria zake mafundisho yake Come Forward To Blame Him huwa anaruhusu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
The fact kwamba Mungu ni alfa na Omega na still adam aliweza kula tunda tayari alikuwa na choice. Babako akikuambia nenda shule na adhabu yake itakuwa kiboko usipoenda halafu usiende means wewe nd umechagua adhabu kwsababu you'd have gone to school instaed and still you chose punishment now that's your problem not his

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ambaye alikwisha jua hatma yetu angali bado hatujazaliwa anatoa mtihani kwa lengo la kujua kitu gani kipya ambacho kabla hakukiona?
Wewe ndo Muhusika wa kuona uovu wako sio yey maan kashaona kila uovu ndo maan anasema ukifika kwenye hukumu itakuwa kama umelala usingizi jana usiku then ukaamka meaning utaeza process everything

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba alishindwa kuumba ulimwengu usio ruhusu na tukakubali kuwa ni muweza?

Hapo ni sawa na mtu aliyempiga baba yake ili awathibitishie majirani zake kuwa ana nguvu.

Inaama huwezi kuonekana una nguvu nyingi bila kumpiga babako?
Yani unapewa neema ya kurekebisha makosa unakuja kulaumu daa ulitak usiwepo uingie shimoni moja kwa moja nd ukalalamike vizuru

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…