Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

kulingana na hoja yako ya mwanzo unakubali mpaka saizi hutakiwi kuhitimisha kwamba shetani ni mbaya kwasababu haujasikiliza maelezo kutoka upande wake?
Sio kusikiliza tu nimeshaona na kupata ushahidi kuwa shetani hafai kabisa ni muovu
 
Mungu angekuwa na maamuzi ya haraka bila huruma hata ww unavokufuru hapa angeshakutoa tayari, lakini anakuacha akijua ipo siku utarudiwa na fahamu na kutubu
 
uhuru wa kweli hauna mipaka

nikitaka kuchagua kufanya ubaya bila kupata adhabu uhuru huo ninao?
Mtu mbaya haexist katika dunia ya Mungu huondolewa mara moja achana na dunia hii gombania goli ya shetani..ko unauhuru wa kufanya unachotaka ndiyo ila mahali ndo utakosa maan kwa Mungu hakuna ubaya.
 

Kesho hujulikana kwa kua na malengo na njia ya kutimiza malengo, ungekua hujui kesho yako leo hii usingefanya kazi kwa juhudi, ungekua hujui kesho yako chochote kizuri kile usingetamani kua nacho maana hujui kesho itakuaje.
Kesho yangu mimi naijua vyema tu nitaamka asubuhi nitaenda kazini kama kawaida na sio kesho tu mpaka mwakani na miaka mitano ijayo nina mipango nilioiweka na muda unavozidi kwenda nazidi kutimiza, nyie mnaosema hamjui kesho yenu labda mmeongea na nani akawaambia kesho hamjui?
 
Mungu mpangaji wa maisha ya binadamu aliyejua mwisho wetu angali hatujazaliwa na kila kitu kinafanyika kwa kutii amri kama alivyokiona kabla hakijatokea, je akikupa offer ya kujirekebisha unaweza ukaenda tofauti na yeye alivyojua?
Mungu hakupangii braza usikariri mafundisho ya kitaa Mungu anapanga kila ki2..Ubaya ni wewe unaechagua ila yeye anakujua kuwa umechagua ubaya na anakupa nafasi ujione ulivoamua kuchagua mabaya ili ukipata adhabu usilaumu..hakuna mtu anapelekwa kwenye dhambi na Mungu. Leo hii mtu unaishi sio jambazi hauui watu. Je, jambazi anapaswa kulalamika kuwa kaonewa kupelekwa kwenye ujambazi? Mungu angekuwa anamfundisha m2 ubaya kusingekuwa na haja ya kuleta maandiko matakatifu. Kitu unachotakiwa kujua ni kuwa dunia inaexist sio Mungu aprove point kwako wewe nd prove point kwake..Ndo maan bible inasema mtu mbaya anapewa mafanikio sometimes aendelee na ubaya wake...hyo statement inatuonesh nn? kwamba binadam anachagua ubaya na Mungu anaeza muachia mazingira ya ubaya wake.
 
uhuru wa kweli hauna mipaka

nikitaka kuchagua kufanya ubaya bila kupata adhabu uhuru huo ninao?
Mungu sio wa uhuru tu pia ni wa haki ukimtenda ndugu yako jambo baya. Je, wafanya haki?
 
Ambacho hujaelewa hapo ni kipi? Uliezaje kumsikiliza shetani kuliko mtu anaekulisha na kukuvisha unadhani una tofauti nae Mpaka unataka asingeumbwa ila wewe na ukaidi wako ndo ungeumbwa..Kma unataka shetani muhasi asiwepo nawewe usingekuwepo vile vile. Mnachotofautiana wewe na shetani ni Muda wa neema ya Mungu 2. yeye yakwake ilishaisha.. Ndo maan mtu atakaefanya dhambi mpaka siku ya mwisho atachomwa pamoja nae. N.B naposema wewe simaanishi wewe kama wewe kuwa nakuhukumu nakuterm wewe kama binadamu kama nilivo mimi ili upate picha halisi tu.
 
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?

Hujajibu swali hili.
Nimekwambia kifo hakihusiani na aina ya ulimwengu,sasa sijui unakwama wapi kung'ang'ania kuhusisha ulimwengu na kifo.
 
Critical thinking inakupa uhakika haikupi tumaini au imani. Ww unafahamu nn kuhusu kesho zaidi ya matumaini tu kuwa utaamka salama na utakuwa na afya? Una fact za kukuhakikishia kuwa itakuwa hivyo au ni imani tu?

Huijui kesho yako. Kinachokufanya ufanye kazi kwa bidii ni imani kuwa kesho utaamka na utakuwa na afya ila huna uhakika na hilo. Unaamini tu. Tunasoma tukiwa na imani kuwa tutaishi muda mrefu kufaidi elimu ila hatuna uhakika.
 
MUNGU si wakala wa Vifo Kifo ni matokeo ya uchaguzi kama vile Uzima ulivyo ni Matokeo ya Uchaguzi.Matokeo ya Uchaguzi kwa nani?Kifo ni matokeo ya Uchaguzi wa Uasi kwa Kile alichosema Mungu.Uzima ni Matokeo ya Utii wa Kile alichoagiza Mungu.Shetani ndiye Muasisi wa Kifo kama matokeo ya uongo aliowalisha wazazi wa kwanza Adam na Hawa Katika Bustani ya Eden Sura ya kwanza na ya pili ya Kitabu Cha Mwanzo inaeleza Asili na Chimbuko la kifo cha wote wenye mwili.Ukipata muda soma hizo sura.Kifo ni matokeo Ya uasi wa sheria na maagizo ya mwenyezi Mungu.Mungu hajakusudia kuona watu wakifa na anazo nguvu juu ya Mauti na Kaburi Na hivyo ameahidi urejeshwaji wa Uzima wa mwili na Maisha ya milele kwa wote wale Watakaokubali na kumwamini Yeye Aliyetumwa na Yeye basi japo atakufa lakini siku ya Kiyama atamfufua na kumvisha mwili usioharibika na Asione kifo tena.
 
Are you sure hawakuwa na hatia? Mungu nnae mwamini ni Mungu wa haki hivo hawezi ua mtu asie na hatia hata siku moja. Au we unadhan aliposem watoto wa farao alimaanisha watoto wachanga? Farao alikuwa mtu mzima maan yeye ndo aliemlea Mussa..Mbona kuna watoto wa watumish wengine wengi 2 walilaaniwa kwasbabu ayubu alikuwa mtu wa Mungu ko wote ndugu zake walikuwa watu wa Mungu. Lakini hayo yote yalikuja kutoweka baada ya haki ya kweli kuja kuishi duniani nae ni YESU kristo maan alitufia kwa dhambi zetu sahivi hakuna kifo cha dhambi cha duniani anacholeta Mungu ila kifo kitakuwa mbinguni.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] heading imekaa poa Sana
 
Kipi bora zaidi kujiuliza maswali kuwa Mung hakuzaa au kutafakari upendo wake na jinsi alivotuokoa..

Kipi bora zaidi kujiuliza maswali kuwa Mung hakuzaa au kutafakari upendo wake na jinsi alivotuokoa..
Hakuna
Inawezekana mpaka siku utakayokufa unaijua na kitakachokuua pia wakijua

Big up sana MWAMBA
 

​

ume-skip swali langu now umeingia kwenye fallacy ya Straw Man Argument

Swali langu ni hili

unakuaje na hakika katika vitu unavyotumainia?

unakuaje na hakika na vitu ambavyo hujavifikiri?
 

Marko 16:17-18 Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: Kwa jina langu watatoa pepo na watasema kwa lugha mpya. Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona.”​

if true believers can drink poison and be perfectly fine

why don't you take a cyanide to demonstrate your faith before you impose your religion on us?
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Umehubiri Biblia.

Sijaomba mahubiri. Kwetu kanisani nimeyasikia mahubiri tangu tumboni mwa mama yangu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Tumboni uliishije sasa!
 
elewa mfano bro hiyo ni part 2 ya Mungu. sas Mungu alivowek huu utaratibu sio yeye aprove point kwko maan hana shida na wewe huna unachomsaidia kikubwa ila anataka wewe uprove point nd utaeza msaidia kwa kumbariki..
Mfano wako wa kumfananisha boss na mwenye madhaifu na mapungufu hauwezi kua relevant

boss alipokua anamuajiri huyo mtu aliweza kujua ya baadaye kuwa huyo mtu atakuja kumsaliti kwa kumuibia?

Wakati Mungu anamuumba adam alikua tayari anauwezo wa kujua yajayo kabla hayajatokea, alikuwa na upendo wote na uwezo wote au hivyo vitu alikuja kuwa navyo baadaye baada ya kufanya uumbaji?
 
Jibu kwnza na wewe Mungu wako kafanya kipi kuzuia haya? Maan sisi Mungu wetu anasema aliweka kifo kama adhabu ya ukaidi nd maan Adam Alipokwisha kukaidi 2 akapewa hukumu ya kifo. Sasa kama unataka kumpangia adhabu gani angeweka utakuwa na matatizo..
Mungu wangu ni yupi?

Unajuaje mimi naamini Mungu?
 
Kwenye jaribu la ayubu mungu aliua, kwenye mgogoro wake na farao mungu aliua watoto wa kwanza wa kila familia just kumkomoa opponent wake
Ok pole Mkuu nilikuwa sijaelewa Mentality yako wakati nakujibu hapo juu; Nia yangu si kubishana, nilikuwa nakujibu kitu ambacho ulisema Mungu anaua; Ndio nikakwambia Kwamba usomaji Mbaya ndio unapelekea shida za Kum-attribute Mungu; Sasa naona kama wewe unataka Kubishana; Niwie radhi kama nimekukwaza.

Lakini tu kitu ninachokwambia ni kwamba, Bible iliandikwa na watu, na Ukisoma Bible in Comprenhensive way hutaona Mikanganyo ya Tabia za Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…