Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

T
Beba hiyo kama changamoto. Usikalie hicho kimshah

Beba hiyo kama changamoto. Usikalie hicho kimshahara
#Tume ku challenge attach hapa pay slip au TRA Returns zako umekimbia;
Do you really make money 💰 au ndo wale wakujifariji? Ni asilimia 1 % tu Dunia wanao tengeneza $ 1 million per year, avarage global income Kwa majority ni $ 12,000 per ni asilimia 10 tu Duniani wenye ku make $ 100,000 per year tuki acha na Currency 💲 huwezi kumuita anaye tengeneza Tanzania Tzsh 1 to 5 million Kwa Mwezi ni masikini, kafanye research 60 percentage ya work force Tanzania wako kwenye less than 1 million iwe ni inform to formal sectors
 
Mketa uzi na stress za maisha huo ndo ukweli huwezi ukawa na afya ya akili ukaandika alichoandika

Vijana wanataka maisha mazuri kwa haraka wanashindwa kuelewa ile ni process wakiyakosa ndo wanakuja na nyuzi kama hizi za kulazamisha kujifariji
 
Sio hali zao. Hawakubaliani na maoni yako. Umediriki kusema mtu anaepata 5m hawezi kumudu milo mitatu? Tell me you weren't serious.
Ni mtoto alafu anatatizo kubwa sana la akili yaani afya yake ya akili inashida kubwa sana
Yaani upewe million 4 au 2 kama mshahara ushindwe kumudu milo mitatu
Mleta uzi nimemdharau sana
 
Just imagine, take home ya 5m mtu ashindwe milo mitatu? Analisha kijiji au ni familia ya watu watano?
Mleta mada aseme alikuwa anatania.
Hatanii ndo maana anatumia nguvu kubwa kutetea uzi wake

Mleta uzi mara nyingi sana analeta nyuzi nyingi sana kwa kutaka kuonekana extra ordinary (mtu mwenye akili) lakini nyuzi zake nyingi sana ni pumba tu anaandika
Huwezi sema million 5 huwezi mudu milo mitatu huo ni ujinga na uzindaki wa hali ya juu sana
 

Kwani nimesema mimi ni tajiri. Mbona unajadili kitu kilichonje ya nilichoandika.

Unapoambiwa nchi yako ni maskini ni pamoja na nilichoeleza.
 
Sio hali zao. Hawakubaliani na maoni yako. Umediriki kusema mtu anaepata 5m hawezi kumudu milo mitatu? Tell me you weren't serious.

Milo mitatu kwa kiwango cha juu cha lishe bora hatoboi. Plus bills zingine.

Niko serious mkuu. Milioni ni pesa ya maskini aliyechangamka anayekatibia kuingia daraja la middle class.
 
Milo mitatu kwa kiwango cha juu cha lishe bora hatoboi. Plus bills zingine.

Niko serious mkuu. Milioni ni pesa ya maskini aliyechangamka anayekatibia kuingia daraja la middle class.
Wahi mirembe ni kijana mdogo sana
Mtu kama huyu kwenye picha anakuambia million ni pesa ya maskini
 
Kipato changu kwa mwezi ni Tsh 4,999,000/= kumbe mimi bado ni maskini.Mtaa ninakoishi watashangaa sana kusikia na mimi niko katika kundi la masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…