mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Sasa mbona ndugu yenu ,ametangaza kwenye vyombo vya Habari maombi ya siku 3,kwani hadi utangaze?mbona viongozi wa dini wakitoa waraka wa kuwakosoa muache udhalimu,wote mnaitikia kama mazuzu,ooh muache kuchanganya dini na siasa.mweeeeee!Punguzeni Utani na Matabaka kwny Swala Nyeti kama hili.
Mbona mnakuwa kama mafarisayo Ulitaka unapomwombea Lisu kila mtu barabarani aone unaomba? Ndo Mungu angejibu au?,au kwa kuomba vile ungemshurutisha Mungu ajibu.?
Kwani ungemuombea ukiwa chumbani kwako Mungu asingeskia?
Mbona ulipozuiwa bado watu waliomba majumbani kwao Lisu hakufa,alipona Hata sasa anaishi!!!.
Kuna wengine wapenda maombi ya kinafiki,
Hupenda sala zao sikiwe na kila mtu.