Hebu Ficha ujinga wako,Uhuru wa kuabudu unalindwa na Katiba yetu.
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar isifanye mzaha kwenye swala la ibada.
Jazba na matusi ya NiniWewe Bwege, mbona unasema maneno ya kibwege sana. Unafikiri kila mmoja ni bwege kama wewe. Embu acha huo ubwege
Mtaendelea kupata tabu Sana, endeleeni TU[emoji4]Hatutoki mkitaka vunjeni muungano
Sahii kabisa,Zanzibar ni nchi ya waislam kama hawataki mueneze ukristo huko Zanzibar sawa tuu nchi yao maamuzi yao.
Watakwambia wanafata waumini, yaani kanisa Kama daladala[emoji28]Ombeni vibali rasmi vya eneo la kanis muone kama mtakataliwa. Kwanini mkajenge makanisa uswahilini? Kwani hamna akili?
Mtoa mada anataka kupeleka makanisa ya kina zumaridi Zanzibar[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kua mstaarabu mkuu,Kichwa kikikosa akili kwisha habari yako, mtu anaambiwa akifa atakutana na bikra 72 sijui mito inayo tiririsha maziwa na asali, bata la kufa mtu huko sijui ndio ahera na ana amini
Tatizo lenu mnaharibu tamaduni zaoHATUONDOKI, tukiwaacha watakuwa rezy zaidi ya hapa so tunavyokuwepo hapa wanaiga mapambano yetu ya maisha nao wanabadirika, sema tu wana roho ya mbaya kwa baadhi.
Wewe ni mpumbavu???Zanzibar kuna makanisa mangapi? kanisa kubwa kabisa la kihistoria lipo zanzibar na halijabomolewa... Kwanini libomolewe hilo???
Siyo kanisa moja tu kuna makanisa zaidi ya manne makubwa kushinda msikiti yote iliyopo na inayojengwa na makanisa hayo yamekuwepo kwa miongo kadhaa hata uislam huu unaolelewa zanzibar umeyakuta hayo makanisa mkuu.
••••••••••••••••••••••••••••
Tatizo la zanzibar ni umimi na kujifanya wana itikadi za kiaarabu ambazo ingekuwa ni bora kama 'wanaweza' kudai uhuru mpya na kujiingiza kwenye dora ya kiislamu ambayo haihitaji dini nyingine zaidi ya hiyo moja tu.
Huwa nacheka eti katika baraza la mawaziri utakuta mkirisito mmoja kafichwa uko kwenye uafisa kamisheni flani au katibu mkuu, ndiye wamemuweka kuonyesha kaumoja asee afrika bana mh!.
Acha vichekesho, kuna Biblia za Kiswahili. Je, kipi ni rahisi ,kuelewa Biblia ya Kiingereza au ya Kiswahili ambayo ndio lugha wanayotumia Wazenji!? Labda uniambie hawatumii Kiswahili na wanatumia Kiarabu kama lugha ya mawasiliano huko Zenji.Aliekwambia serekali haina dini nani ? Zanzibar wakaazi wake wa kiislamu lakini skuli zinafuata kalenda ya kikristo na wala hawajalalmika miaka yote wakati wao ndio majority.
Tumeondoshewa lugha ya kiarabu ambayo inaendana na uislamu sasa imekuwa kiengereza ili watu wafahamu biblia vizuri. Bado waislamu wa Zanzibar wamekaa kimya.
Mie nadhani huo uvumilivu unaotaka wewe utakuwa labda ni woga. Serekali lazima ina dini kwa maana serekali ni watu. Na watu wote wana dini zao!
Wacha wakristo wajaze hayo makanisa walioyo nayo kwanza kabla hawajajenga mengine!
Maasalaam,
Hayo hayajalishi,basi tukubaliane,hakuna vipaza sauti,yani watu wanje wasibughuziwe,kwa wakristo na waislam.Hili Swala inabidi tuliendee bila kutumia hisia,nani hajui KERO ya makanisa ya kilokole yaliyotapakaa kila Kona ya nchi hii,kwa wakazi wa Dar,pale kawe Kuna makanisa kila Kona,yamefunga maspika makubwa,yaani yakiachia mziki mpaka mtaa wa saba masikio yanauma,Hawa wachungaji wa jasiliamali wao ni kuanzisha Kanisa kila Kona na mziki usiokoma.Adhana ya waislam hai haichukui hata nusu saa,wakati ibada za kilokole ni siku nzima kuanzia saa sita na kuendelea.yule taperi mfalme zumaridi aliyekamatwa mwanza ni kwa sababu ya KERO,angekuwa amekamatwa Zenj,ingekuwa story nyingine.
Kwa Zenj,na nchi nyingi zenye wakristo kama minority group,kuwa na Kanisa au kuabudu kwa uhuru ni shida kidogo,hili serikali inabidi iliweke vzr.sasa kuhusu hilo Kanisa huko Zenj,lilijengwa kwa vibali?au ndio kama huku Bongo,yanaanzishwa kama uyoga Ili kupiga sadaka
Ha ha ha....Kanisa la Zumaridi likifika huko, watu watanyukana mtaani na wale 'makerubi' [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo Maana najiuliza Hilo eneo wamepewa na Nani maana kumpata mzanzibar mkristo ni nadra Sana kuleMkuu sio kujenga makanisa tu hata mtanganyika kununua na kumiliki kipande cha ardhi huko visiwani ni ndoto ya alinacha tena ukiwa mgalatia ndio usahau kabisa
Sasa basi huyo mungu wenu hana maana,yani unavunjaje jengo la mtu kisa kuogopa kupotoshwa watoto wenu, sasa na sisi wakristo tukiamu kuvunja misikiti iliyokaribu na makazi yetu itakuaje??sijui huwa mnafkiliaje nyie watu.S
Hatuogopi competition ya imani, hatutaki kupotoshwa na hatutaki kupoteshewa watoto wetu. Ikiwa unasema kuwa tunaogopa kupotoshwa, then yes sawa na wala hatuoni aibu kwa hilo tunaogopa kupoteshewa familia zetu, tunaogopa adhabu ya Mola wetu siku tukirudi kwake.
Zamani watu hawakusali kipumbavu namna Hii.Kero za kelele za magari, viwanda, matangazo ya simu, ndege kama KLM, kelele za masokoni, mafundi vyuma zote hizo huzisikii mitaani uje ukwazwe na kelele zilizokuwepo miaka na miaka 600 iliyopita ambapo hata kuzaliwa kwa Babu mzaa Babu yako hakuwepo hukuziona na hukerwi nazo lakini za Makanisa yazungukayo mtaa wako tu ndizo zikukere?
Ayseee kufa haraka ukaishi peponi kwenye bikra 72 na mito ya pombe ndipo hutakutana na kero hizo sababu hii dunia ni ya wote wala si ya dini flani pekee.
Sheria ifuate mkondo wake,Sheria ipi inayohalalisha kuvunja baadi ya Makanisa flani na kuacha Makanisa flani?
Sahii kabisa,Aliekwambia serekali haina dini nani ? Zanzibar wakaazi wake wa kiislamu lakini skuli zinafuata kalenda ya kikristo na wala hawajalalmika miaka yote wakati wao ndio majority.
Tumeondoshewa lugha ya kiarabu ambayo inaendana na uislamu sasa imekuwa kiengereza ili watu wafahamu biblia vizuri. Bado waislamu wa Zanzibar wamekaa kimya.
Mie nadhani huo uvumilivu unaotaka wewe utakuwa labda ni woga. Serekali lazima ina dini kwa maana serekali ni watu. Na watu wote wana dini zao!
Wacha wakristo wajaze hayo makanisa walioyo nayo kwanza kabla hawajajenga mengine!
Maasalaam,