Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Vijana wanajidanganya sana..

Hata sabuni wanazotumia zina madhara makubwa...

Punyeto inaua "Masculine Energy" mwanaume unabaki kama li zezeta hivi,...

Mwanaume unakuwa weak internally, unakuwa huna ile domination drive waliyonayo wanaume..
dronedrake
 
Huo ulezi wa familia wenyewe siku hz ushawashinda
 
Tumalize na kusema kuwa mwanamke ni adui wa maendeleo over
 
Wanaoushika ndio unaowaona wamefanikiwaa… sisi kazi yetu ni kuwashaurii na ndio maana ya msaidizi kama na nyie mnataka kuhongwa mseme
Yani ushauri wenu ndio unaofanya tutoboe wakati kutwa mizinga isiyokuwa na tija ebu acha kuongea upuuzi
 
Ushauri uendane na action

Ili nikusikilize ushauri wako lazima uwe na action za kunishawishi

Mfano wewe binafsi una maendeleo gani yanayoonekana ? Ya kumshawishi mtu akubali ushauri wako kuhusu maendeleo

Kwaiyo kama sina maendeleo sipaswi kukushauri???

Mimi najua kufanikiwa kwako ni faida kwa watoto wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…