Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

X wangu wa kitambo hicho kuna mtimu ule ambao boss anatambulisha mpaka Dada zake alikua anaupenda humwambii kitu nikajagundua baadae kumbe alikua ametambulishwa na X wake, Wanawake again subiri nilikoke skanka langu vizuri narudi
Me mbona namshabikia Messi making sio kidume kilimtambulisha kwangu?
 
Mwanamke hawezi kujua soccer au video games bila ya mwanamme?

Uko kijiji gani ambacho bado kina ujima huu?
 
vingine ni umasikini tu, watu wamezaliwa kwao ma-game yapo home ya kila aina ataacha kutofahamu?
Kwa hiyo mkuu unamaanisha kuwa na video games nyumbani ni ishara ya utajiri?

Wasichana hawako interested sana na video games tena hasa ziwe za mpira hata kama nyumbani ipo ni boys tu wanakuwa busy nazo

Kuna mawili afuundishwe na boy nyumbani au mpenzi wake. Lazima mwanaume ahusike
 
Mkuu umenikumbusha mbali. Niliwahi kudate na manzi alikuwa anafahamu kikosi cha Wigan Athletic! Kisa tu mtu wake alikuwa ni shabiki wa Bolton Wanderers. Alikuwa anaamka usiku kucheck marudio ya Championship.
 

Demu anaweza kuikubali Simba au Yanga kutokana na influence ya kaka, baba au ndugu zake wengine.

Ila dem shabiki wa Liverpool kaitoa kwa X wake..
Umeongea kitaalamu sana mkuu. Na ndio maana pale sikuweka Simba wala Yanga.

Wewe ni kati ya watu wameuelewa sana huu uzi

Ingawa kuna baadhi yao hata Simba na Yanga ni influence ya wapenzi wao.

Kuna manzi nilishangaa siku Simba tumepigwa 5 na Yanga ananipa pole na wakati najua na yeye ni shabiki wa Simba kumbe kahamia timu ya bwana wake Yanga, nilichoka
 
Na wanaume nani anawaintroduce kwenye upenzi wa vitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…