Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #61
Xi Jinping, Simba niliipenda kisaa ilikuwa inafunga yanga,tofauti na hapo ni timu ya familia, wanaipenda na asilimia kubwa timu ambazo watu wanazipenda sana sana wadada ni wanaume walio kwenye timu. Sio eti unashadadia hivyoo huu ni uongo kabisa
Sitaki kuamini, nataka facts.
Uko wapi......Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."
Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.
Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.
Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.
Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
Uko wapi......
Acha uongo kama vile hakuna waliokua na Baba zao au Kaka zao au ndugu wa kiume makwao.
Pia wanawake wanna uwezo wa kupenda game yoyote duniani..
Ushwambwa umekujaa..
Dah basi Nifah alitambulishwa ArsenalIkiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."
Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.
Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.
Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.
Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
Shuhuda gani? Ziweke hapa. Posts zina namba, zina link.Ukisoma vizuri comments utaona kuna shuhuda zimetolewa
Wengine walirithishwa kutoka kwenye familia zao bro...Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."
Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.
Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.
Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.
Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
Hata baba ake ni mwanaumeIkiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."
Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.
Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.
Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.
Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
Soma vizuri uzi utaelewaWengine walirithishwa kutoka kwenye familia zao bro...
Eh timu yenye wanaume wenye mvuto wanawake wanaipenda mf. SIMBA hakuna mahandsome kivile ila Yanga wapo wengi mahandsome sasa watu wote wapo hukoKwamba mnavutiwa na wachezaji?
PassNipasie na Mimi ninyonge dry
Kumeza muhogomchunguMchungu kumeza
Noma kinoma Manzi yangu hashabikii mpira Ila Aziz Ki anamjua sababu ni hand some? Kwako Muhasibu wa JF OKW BOBAN SUNZUEh timu yenye wanaume wenye mvuto wanawake wanaipenda mf. SIMBA hakuna mahandsome kivile ila Yanga wapo wengi mahandsome sasa watu wote wapo huko
Sasa anavutiwa nawe ila anakukubali naweweNoma kinoma Manzi yangu hashabikii mpira Ila Aziz Ki anamjua sababu ni hand some? Kwako Muhasibu wa JF OKW BOBAN SUNZU