Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

Kwani huyo ka-telephone hajui kusoma alama za nyakati? Hata kama hajasikia kwa masikio yake hata kama kuona hajaona kwa macho yake? Anasubiri nini kuondoka kwenda kutafuta changamoto mpya sehemu nyingine kama alivyofanya Cloutos Chota Chama?
 
Mkuu ulishuhudia kilichotokea mle ukumbini hadi mwisho? Ungejua nilivyopambana usingekuja hapa kunilaumu.
 
Mkuu kwa kweli nilipambana sana behind the scene kuhakikisha mambo yanaenda sawa ila nililemewa na wingi wa wajumbe wa 'ndiyo mzee'. Ujue mle ndani tunakuwa wajumbe wa kila aina na wengi wao ni wachumiatumbo tu wala hawana nia njema ya kuendeleza nchi. Hili ndilo tatizo linaloikumba nchi hii.
 
Hizo hisia zako ni chochoko na fitna tupu.
Kuchagua mgombea mwenza hakuna uhusiano wowote na waziri mkuu.Nionavyo Kassim Majaliwa anaweza kuweka rekodi ya kuwa waziri mkuu kwa kipindi kirefu kuliko waziri yoyote aliyetangulia kwenye cheo hicho.
Kwa sasa hiyo rekodi inashikiliwa na Fredrick Sumaye(1995-2005)
 
haikuwahi kutokea MA DED, MA RAS wateuliwe toka znz, na pia serikali za mitaa syo ya muungano.
ila huyu bibi amewajaza huku bara na sisi tuko kama manyumbu kimyaaa
Hili ni jambo la ovyo sana lakini unakuta watanganyika mazwazwa wanachekelea tu kama mazuzu wakati nafasi zao zinachukuliwa na wazanzibar. Mkuu nakuhakikishia kwamba huyu mama ni nyoka kuliko Magufuli.
 
Kwa hiyo wakati wa mkutano ulikuwa umesinzia?
Mkuu nili struggle sana lakini nilizidiwa nguvu na wingi wa wajumbe, ambao wengi wao ni wachumiatumbo na machawa wanaokubali kila ujinga ilmradi mkono uende kinywani.
 
Isingewezekana PM kuteuliwa kama mgombea mwenza.
Aliyehitajika alipaswa akidhi vigezo hivi;
*Awe ni mkristo
*Awe ni mtanganyika
*Awe ni Mwanaume
PM anakosa sifa moja
MUHIMU sana.
Kwa kutumia katiba ipi mkuu? Au haya ni mawazo yako binafsi?
 
Yote uliyoyaandika huenda yakawa sahihi tatizo linakuja:- Ulikwenda hadi Dodoma kama si mkazi wa Dodoma, ukaingia ukumbini na guo lako la kijani ukapiga makofi na kucheza.nyimbo za wasani humo ndani na kelele za ndio ndio na shangwe kibao, nje ya ukumbi unatulilia tukusaidie nini. Nimekusikia nimekuelewa, tatizo wengi mko hivyo njaa na unafiki kila siku mnatuumiza sisi tulikosa fursa ya kuingia huko
 
Jamii forum imevamiwa na Mbwa aisee ,wewe ni mmoja wa Mbwa.
 
Mtajuana wenyewe bwana
 
Twende taratibu.....
1. Ni wapi imeandikwa kwenye katiba kuwa mtu akiwa PM hawezi kuwa VC?
2. Bi Tozo kuwajaza wapemba wenzake kwenye nafasi za watanganyika anatumia kigezo gani cha kikatiba au wewe umezoea kuona ukiukwaji wa katiba ulioanzishwa na dikteta Magufuli?
3. Kizimkazi ni sehemu ya nchi ya Zanzibar na Chato ni sehemu ya nchi ya Tanganyika. Kwanini Bi Tozo anatumia rasilimali za Tanganyika kuendeleza Kizimkazi ya Zanzibar?
 
Ni mwaka gani Wapemba hawakuwahi chukua nafasi Tanganyika? Na hao waliochukua nafasi ni kina nani Kwa Majina?
Ni mwaka gani wapemba waliteuliwa kuwa RAS, DAS, RC na vyeo vingine hapa Tanganyika tofauti na kipindi cha Sa100? Wataje?

Mimi nakutajia baadhi yao, wengine nawaweka kapuni:
1. RAS wa mkoa wa Morogoro ni mpemba
2. Bosi wa NECTA, Dr Said Mohamed ni mpemba.

Wewe nitajie walau wawili tu ama sivyo funga mdomo wako.
 
mdebwede ni wewe ambae umeshindwa kujibu hoja na kubakia kupayuka hovyo kama mtu aliyebanwa mavi
 
Tanganyika ni wapi huko?

Wapemba kama nani hao waliojaa na kabla hawakuwepo?

Imeandikwa kwenye Katiba ya Kamati Kuu ya CCM ,hiyo imetoka na huna Cha kufanya.

Si mshauri Sasa huyo Godfather wako ajiuzulu kama VP alivyoomba uone kama Kizmkazi Itasimama.

Zero brain
 
Mkuu hili swali tayari nieishalitolea ufafanuzi humu humu kwenye uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…