LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
muda wenyewe wa kujiuzulu uko wapi? Anyway, kwa kuwa yupo naibu wake anaweza kujiuzulu tu na kumuachia mzigo naibu wake apige mzigo mpaka uchaguzi mkuuKwanini asijouzulu mwenyewe akabaki kuitwa PM mstaafu na kula mafao