Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

Huyo unayem-quote alikuwa mtetea serikali hata pale wananchi walipokuwa wanaumizwa.

Ni kama wewe tu.

Mwisho shetani amempiga na stroke.
Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia tulipo na kutembea kifua mbele, kwa namna alivyofanya kazi Anastahili kuungwa mkono na kila mtanzania
 
1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati.

2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam.

3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na wizi wa vifurushi kwa kuvimaliza mapema.

4. Wabunge wasiokuwa na chama na hata hawajui nani aliwateua bado wanaendelea kukaa bungeni na kulipwa kodi za watanzania.

5. Uzembe wa serikali katika kuimarisha mfumo wa kukabiliana na majanga. Hili jambo limejirudia sana na watu wanakufa bila msaada.

6. Mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali hasa kwenye chakula, usafirishaji na ujenzi.

7. Mizaha juu ya upatikanaji wa katiba mpya. Sheria iliyotungwa kukamilisha upatikanaji wa katiba mpya inapuuzwa.

8. Ukosefu wa ajira na mitaji kwa vijana kumepelekea udhalilishaji wa sekta ya elimu na kumomonyoka kwa maadili.
Mkuu umekuja na sababu za kawaida sana za kumtaka rais ajiuzulu. Mambo kama vifurushi vya internet kumbuka wakati wa JPM hata hiyo internet ilikuwa bidhaa adimu na hakuna aliyemtaka ajiuzulu.

Maji safi na salama ni tatizo la tabia nchi, tatizo la ukame ulioota sugu. Wabunge wasiokuwa na chama muulize Spika Tulia na wasaidizi wake.

Mfumuko mkubwa wa bei ni kiashiria cha uchumi uliochangamka, nguvu ya soko ipo kazini na hakuna ubabe wala kuingilia sekta bali utaalam umeachwa ufanye kazi.

Ukosefu wa ajira ni changamoto ya kidunia, hata Ujerumani dunia ya kwanza wanayo changamoto ya wingi wa wasomi kulinganisha na idadi ya ajira halali.

JPM hakujiuzulu na sidhani kama atakuja kuwepo rais aliyeapishwa akajiuzulu.
 
Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia tulipo na kutembea kifua mbele, kwa namna alivyofanya kazi Anastahili kuungwa mkono na kila mtanzania

Siyo kweli.

Hapa nilipo nimeuliza wananchi wanasema Samia na serikali yake ni mfano wa serikali mbovu isiyofaa kuungwa mkono.
 
Itakuwa Ni mawazo yako ndio yapo hivyo Wala usisingizie habari za wananchi hapa, maana wananchi tupo bega kwa bega na mh Rais wetu mpendwa mama Samia katika ujenzi wa Taifa letu
 
Mkuu umekuja na sababu za kawaida sana za kumtaka rais ajiuzulu. Mambo kama vifurushi vya internet kumbuka wakati wa JPM hata hiyo internet ilikuwa bidhaa adimu na hakuna aliyemtaka ajiuzulu.

Maji safi na salama ni tatizo la tabia nchi, tatizo la ukame ulioota sugu. Wabunge wasiokuwa na chama muulize Spika Tulia na wasaidizi wake.

Mfumuko mkubwa wa bei ni kiashiria cha uchumi uliochangamka, nguvu ya soko ipo kazini na hakuna ubabe wala kuingilia sekta bali utaalam umeachwa ufanye kazi.

Ukosefu wa ajira ni changamoto ya kidunia, hata Ujerumani dunia ya kwanza wanayo changamoto ya wingi wa wasomi kulinganisha na idadi ya ajira halali.

JPM hakujiuzulu na sidhani kama atakuja kuwepo rais aliyeapishwa akajiuzulu.

Na wewe haya ndiyo majibu yako?

1-Unaona sawa maji kukosekana kwa nchi hii iliyojaa mito na maziwa na chemchem?

Una akili wewe?

2-Mfumuko wa bei hiyo maana yake nchi haina uwezo wakuzalisha bidhaa. Maana nyingine uchumi unaelekea shimoni.

Au wewe unawaza kwa kutumia masaburi?

3-Ukosefu wa ajira ni pande mbili.

Mosi, elimu duni watz wanayopata hivyo kushindwa kushindana katika masoko ya ajira. Swali, nani anatoa miongozo na mitaala ya elimu Tz? Jibu, serikali isiyojielewa.

Pili, mwamko mdogo wa ujasiriamali. Hakuna mwamko mkubwa wa entrepreneurship hapa Tz.
 
Tangu nimeifahamu jf sijawahi kuona mawazo mufilisi na ya uchawa kama haya.
 
Dah wewe jamaa nakumbuka miaka ya nyuma ulikuwa kichwa ngumu unatetea serikali hata pale wananchi wanapoumia.

Nini kimebadilika sasa?

Nikukumbushe; siku zote chagua upande wa wananchi, hata kama ni masikini na wanaonekana wajinga. Wananchi ndiyo sauti ya Mungu.
content sana hii comment
 
Na wewe haya ndiyo majibu yako?

1-Unaona sawa maji kukosekana kwa nchi hii iliyojaa mito na maziwa na chemchem?

Una akili wewe?

2-Mfumuko wa bei hiyo maana yake nchi haina uwezo wakuzalisha bidhaa. Maana nyingine uchumi unaelekea shimoni.

Au wewe unawaza kwa kutumia masaburi?

3-Ukosefu wa ajira ni pande mbili.

Mosi, elimu duni watz wanayopata hivyo kushindwa kushindana katika masoko ya ajira. Swali, nani anatoa miongozo na mitaala ya elimu Tz? Jibu, serikali isiyojielewa.

Pili, mwamko mdogo wa ujasiriamali. Hakuna mwamko mkubwa wa entrepreneurship hapa Tz.
Maji kukosekana ni rahisi kukosoa kama huangalia hali halisi kwa kina. Mkaa wote wa Dar unatoka mkoa wa Pwani, jiulize hiyo inamaanisha nini katika suala la mazingira.

Pwani inakuwa jangwa kwa faida ya matumbo ya watu wa Dar. Kumbuka pia ukame ni eneo lote la afrika kuanzia Djibouti mpaka Tanzania. Hivyo huwezi kuwa na hali ambayo mifugo inakufa halafu maji yasiwe tatizo, kwa akili za kawaida tu.

Mfumuko wa bei hauwezi kukwepeka ikiwa rais anazijali sekta zote, anatoa pesa za ujenzi wa madarasa, pesa za ukarabati wa miundo mbinu ya kila namna. Anakarabati bandari zote za TZ pia anawapa uhuru wakulima kuuza mazao mahali wanapopataka bila ya bughudha. Mfumuko wa bei katika hali kama hizo ni suala la kawaida tu.

Kumbuka kuwa frames mbalimbali zilizokuwa zinakula vumbi awamu zilizopita kwa sasa zimeanza tena kuuza, zinafanya biashara. Mzunguko wa pesa unaanza kuimarika hivyo masuala ya mfumuko wa bei hayawezi kukwepeka, tazama upande mzuri wa uchumi na sio kuishia kuutazama mfumuko wenyewe kama wenyewe.

Elimu inaimarika siku baada ya siku, sema ushindani wa soko la ajira ni mzito sana. Mtanzania aliyepata elimu ya chuo kikuu anakuja kupambana na msomi kutoka Kenya au nchi za kusini mwa afrika mwenye CV pana na uzoefu wa kazi na uwezo wa mawasiliano kwa maana ya kingereza, anakutana na wakati mgumu.

Cha muhimu sana alichonacho SSH ni kuwa positive minded a leader, kiongozi mwenye mtazamo chanya kila anapoongea na watu mbalimbali. Hatangulizi ujuaji wala ujeuri ambao ni sawa na upofu kwa kiongozi mkuu wa taifa.
 
Huyu sasa hivi alee wajukuu, umri umeshamtupa mkono.
Vijana ni wahovyo kuliko.

Vijana ndio Akina Mwigulu, Nape,Makamba, Ridhiwani. Hiví Hawa unaweza kuwaamini ukawapa nchi kweli?

Nchi hizi zinatawaliwa na misimamo imara au Bora liende watu wachukue chao mapema.
Ndio Hao Vijana.
Vijana Gani waliopo ?
Vijana Chawa ndio wanaotaka kuwa viongozi.

Tatizo hatutaki kuweka midagalo Ili tuwashindanishe Kwa hoja na maono?

Vijana wengi ni wapumbavu sana .
Na halina ubishi Vijana Bila kuwapiga risasi wanapoiba Mali za umma HAWANA msaada Wowote . Ukitaka Vijana wafanye KAZI basi weka risasi chemba. Akiiba Fumua kichwa . Vijana wanaogopa kufa Tuu Tena Kwa kuuawa. Wazee Wa umri Wa kati wananidhamu ya KAZI na ni waadilifu zaidi.
Vijana waliopewa uongozi ukifuatilia Hata kwenye magroup ya Whsap utaona wengi wanajadili mambo ya pombe na wanawake na kukwapua Mali za umma. Ni 90% Mawazo Yao ni wanawake ,pombe na kutafuta pesa haraka haraka Hata Kwa kuiba hawajadili matatizo ya Nchi .

Magufuli aliwaweza sana Vijana na walifanya KAZI sana mana ALIKUA anafuatilia mpaka kwenye mitandao. Bila kuwabana Vijana ni Bora uweke maraboti Lakini sio Vijana Wa kizazi hiki Cha Nyoka.
 
Nchi inatakiwa kuwa na mfumo wa kuwawajibisha viongozi pale wanapokosea. Mtu mmoja hawezi kufuatilia kila mtu.

Hatuhitaji wazee waliovuka miaka sabini warudi tena kuongoza, tunapaswa kuwajengea vijana uwezo kwa kuwapa fursa.
 
Duh raisi ajiuzulu kwa vifurushi vya internet? kwamba watanzania wote maisha yao yanategemea internet ama mm sijaelewa?
ajira na mitaji.... kama serikali iliyopita ilshindwa na kuacha kabisa kuajiri watu kwa miaka yote mitano lazima pawe na tatizo la ajira tu
wabunge wasio na chama (nawachukia maana nilichanga pesa yangu ili watoke jela) magufuli aliiba uchaguzi 2021 mpaka akapitiliza wale walipelekwa bungeni na ndugai kwa maagizo ya mkubwa wake
Sina lengo la kumtetea yeyote
Hapa kwenye watanzania wote wanategemea vifurushi vya intanet umeropoka. Kwa hyo ulimwengu huu unataka kusema huduma ya intaneti si kitu? Huna tofauti na wale wanaosema katiba si takwa la wananchi bali wanahtaji maji, umeme n.k ambavyo ni mgao tu siku hz.
 
Miaka mitano ya utawala wake kulikuwa hakuna ajira,kapora uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020,Kaingiza wale wanawake wahuni 19 Bungeni,katusababishia majanga mengi leo Mama Samiah anahangaika namna ya kuboresha nchi iliyoharibiwa na yule Kibaraka wa shetani.
Acheni kufichia madhaifu ya mtu kupitia mtangulizi wake. Mgao wa maji ni zao la mtangulizi? Wizi uliokithiri ni zao la mtangulizi? Km hasira zenu ni kukosa ajira za kisiasa basi mlalamikie hilo ila si kumlinda mtu kwa point za kijinga.
 
Itakuwa Ni mawazo yako ndio yapo hivyo Wala usisingizie habari za wananchi hapa, maana wananchi tupo bega kwa bega na mh Rais wetu mpendwa mama Samia katika ujenzi wa Taifa letu

Siyo kweli, wananchi kwa umoja wao wanasema hawana muda na serikali goigoi. Wapo busy kujiletea maendeleo wenyewe.

Nimewauliza kuhusu maji na umeme wanasema sasa hivi hawana muda na serikali ilichoka na yakifisadi, wananchi sasa hivi wanatunza pesa zao kununua solar na kuchimba visima.
 
Maji kukosekana ni rahisi kukosoa kama huangalia hali halisi kwa kina. Mkaa wote wa Dar unatoka mkoa wa Pwani, jiulize hiyo inamaanisha nini katika suala la mazingira.

Pwani inakuwa jangwa kwa faida ya matumbo ya watu wa Dar. Kumbuka pia ukame ni eneo lote la afrika kuanzia Djibouti mpaka Tanzania. Hivyo huwezi kuwa na hali ambayo mifugo inakufa halafu maji yasiwe tatizo, kwa akili za kawaida tu.

Mfumuko wa bei hauwezi kukwepeka ikiwa rais anazijali sekta zote, anatoa pesa za ujenzi wa madarasa, pesa za ukarabati wa miundo mbinu ya kila namna. Anakarabati bandari zote za TZ pia anawapa uhuru wakulima kuuza mazao mahali wanapopataka bila ya bughudha. Mfumuko wa bei katika hali kama hizo ni suala la kawaida tu.

Kumbuka kuwa frames mbalimbali zilizokuwa zinakula vumbi awamu zilizopita kwa sasa zimeanza tena kuuza, zinafanya biashara. Mzunguko wa pesa unaanza kuimarika hivyo masuala ya mfumuko wa bei hayawezi kukwepeka, tazama upande mzuri wa uchumi na sio kuishia kuutazama mfumuko wenyewe kama wenyewe.

Elimu inaimarika siku baada ya siku, sema ushindani wa soko la ajira ni mzito sana. Mtanzania aliyepata elimu ya chuo kikuu anakuja kupambana na msomi kutoka Kenya au nchi za kusini mwa afrika mwenye CV pana na uzoefu wa kazi na uwezo wa mawasiliano kwa maana ya kingereza, anakutana na wakati mgumu.

Cha muhimu sana alichonacho SSH ni kuwa positive minded a leader, kiongozi mwenye mtazamo chanya kila anapoongea na watu mbalimbali. Hatangulizi ujuaji wala ujeuri ambao ni sawa na upofu kwa kiongozi mkuu wa taifa.

Majibu yako dhaifu. Tena hayaangali chanzo halisi cha tatizo.

Ngoja nikufahamishe kama hufahamu.

1-Watu wanakata miti ya kuchoma mkaa kwa sababu hawana nishati mbadala yakutumia. Unataka waache kupikia mkaa waje kupika kwenye jiko la gesi la mume wako hapo kwako? Serikali dhaifu kwa miaka 60 imeshindwa hata kuhakikisha upatikanaji wa gesi kwa gharama nafuu. Gesi ndiyo suluhisho sahihi.

2-Mfumuko wa bei sababu kuu ni uzalishaji mdogo. Bidhaa lazima zipande bei kama uzalishaji ni wakusuasua. Au wewe unaishi ndotoni haufahamu uhalisia?

3-Elimu inaimarika? Wewe ni wakuchapwa bakora. Kwa ukanda wetu huu Tz ndiyo elimu ya hovyo. Hiyo ndiyo kuimarika kwa elimu?

Wewe unaishi Tz au shimoni? Au unatembea ukiwa umeziba macho na masikio?
 
Siyo kweli, wananchi kwa umoja wao wanasema hawana muda na serikali goigoi. Wapo busy kujiletea maendeleo wenyewe.

Nimewauliza kuhusu maji na umeme wanasema sasa hivi hawana muda na serikali ilichoka na yakifisadi, wananchi sasa hivi wanatunza pesa zao kununua solar na kuchimba visima.
Nilifikiri ni huku tu nilipo, kiukweli wananchi weengi sana hawana furaha na serikali yao. Wanadai iko irresponsible sana.
 
Ndugu mleta bandiko,ukipewa Uhuru usiutumie vibaya,hivi kwa maraisi wote waliopita uliwahi andika hivi?
 
Siyo kweli, wananchi kwa umoja wao wanasema hawana muda na serikali goigoi. Wapo busy kujiletea maendeleo wenyewe.

Nimewauliza kuhusu maji na umeme wanasema sasa hivi hawana muda na serikali ilichoka na yakifisadi, wananchi sasa hivi wanatunza pesa zao kununua solar na kuchimba visima.
Bila Shaka wewe Ni mpotoshaji ,waulize wakulima juu ya serikali yao namna ilivyowasaidia, wakikujibu urejee hapa na hayo majibu
 
Siyo kweli nimezingumza na wakulia wa vitungu, wakulima wa mahindi na mazao mengine wote kwa umoja wao wanasikitika sana jinsi Samia na genge lake wanavyoendesha nchi.

Wanasema utendaji ni mbovu sana.

Nimezungumza na bodaboda nao wanasema wazi wameichoka hii serikali.

J3 nitazungumza na wavuvi Mwanza, maana nitakuwa huko. Nitakupatia mrejesho.
 
Nimegundua wewe Ni Tapeli kutoka Chadema, mkulima gani asiye mpongeza na kumshukuru Rais Samia? Mkulima gani ambaye hajafaidika na jasho lake mwaka huu? Mkulima gani ambaye hajafurahishwa na utoaji wa Ruzuku na kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea? Hao siyo wakulima Bali Ni mkusanyiko wa wapiga soga na wababaishaji kutoka hapo ufipa makao makuu ya kutafuna Ruzuku na michango ya akina Sabodo na wadau wengineo
 
Back
Top Bottom